Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
Habari wadau! Mim ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakin sijui nianzaje. Nahitaji awe wa rangi (race) zote duniani ISIPOKUWA Mwafrika (mweusi). Kwa yeyote anayeijua website au link yoyote itakayoniwezesha kupata msichana mzungu naomba anisaidie.

fuga rasta,kuwa rough kidogo halafu uwe unashunda beach utampata.
Nenda www.u-turn.co.tz search mada za nyuma utapata maelekezo yote kuhusu hitaji lako. Kuna website pia ilitolewa www.match.com ambayo pia km skosei kuna monthly fees. Kasome huko utapata details. Your life your choices, your life your rules.... Kila la heri.
Shahada yako mkuu ni ya nini samahani
Shahada yako mkuu ni ya nini samahani
Habari wadau! Mim ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni shahada ya kwanza. Natamani nimpate mchumba wa kizungu lakin sijui nianzaje. Nahitaji awe wa rangi (race) zote duniani ISIPOKUWA Mwafrika (mweusi). Kwa yeyote anayeijua website au link yoyote itakayoniwezesha kupata msichana mzungu naomba anisaidie.
Atakuwa na shahada ya uzamivu na uzambivu....
Bachelor of Arts in Racism.
Kuna haja ya vyuo vikuu vyetu kujitathmini upya.
fuga rasta,kuwa rough kidogo halafu uwe unashinda beach utampata.
Nenda Ulaya lazima utawapata hao,ila kwa huku lazima ujitoe ufahamu,kushinda beach uvute bange na ufuge rasta,uvae singklend za bob marley,jah people,pama la bendera ya jamaice na vitu vinavyofanana na hivyo.