Huyu binti bwana ni mzuri sana!
Huwa tunakutana every weekend kwenye social activity flani hivi!
Huwa anapenda kukaa few metres from me! Yaani ni lazima, siku nyingine ikatokea tukakaa karibu kabisa! Siku hiyo nakumbuka kumuona mama yake akitabasamu baada ya kutuona tukiwa very close!
Huwa ikifika siku hiyo sipendi kuikosa maana najua kuwa nitamkuta! Huwa nisipomuona moyo unapata huzuni kidogo!
Kwakweli huwa hatuachagi kutazamana! Lazima tutazamane! Halafu ubaya ni kwamba! Anaonekana ni mkimya sana! Mimi pia ni mkimya sana tu!
Nahisi kama vile natakiwa kufanya jambo! Lakini tatizo ni moja kubwa sana!
Baba yake ni mtu mzito kidogo! Na huwa hakai mbali naye! Natafuta namna ya kubreak this silence na hii torture!
Nitumie mbinu gani kuanzisha mazungumzo naye! Kwa maana tunaangaliana tu hakuna anayetaka kumfuata mwenzake! Mzee naye anakaba haswa!
Mkuu kumsogelea tu naona kama mzee atanifunga!Baba yake yupo naye mpaka akiwa anaenda washroom ? Watu wa aina yako huwa mnanishangaza
Halafu baadae unajilaumu kwa nafasi uliyopoteza
Acha uboya kama unataka kitu au mtu jiamini sio unang'ta vidole oh baba yake ni mtu mzito blah blah
Nadhani ni vile vitoto vinapenda baba zao! Ila nikazuri aisee! Nimekapenda! Ila sasa mzee wake anakaba vibaya mno! Hata sekunde ya kufanya mashambulizi hakuna! Dah!Hivi kweli huwa unasali wewe, maana naona kama unaenda Kanisani kusololea kibinti cha tajiri
Acha mawazo ya kiboya.. kwan ni u 18?Mkuu kumsogelea tu naona kama mzee atanifunga!
Asante mkuu nitaandika nitafanya hivyo! Ila tatizo hua anakaa na mzee wake aisee! Hapo nafanyaje!Andika kinote mpatie...."hey kama hutajali naomba tuonane hapo nje baada ya dakika 5, kuna jambo nataka kuuliza. Samahani kwa usumbufu." Ukifika nje mwambie nina ishu nataka tuongee ila hapa mazingira hayaruhusu niachie namba, na pengine sijui lini una nafasi? Ukipata namba maliza mchezo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ulivokaa nae close ulishindwa nn kuomba namba,, acha uboya mwishoe utamwita shemeji
Mwambie afanye mazoezi apunguze uzitoKilo nyingi mkuu!
Aisee natamani nimfundishe asimkose mtoto mzuriii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mfundishe kutongoza
Haya mapenzi ni habari nyingine! Huwa nikimuona nabakia kuota tu! Mawazo yanahama kabisa! Naishia kumuangalia tu!alaf mtoa mada ntakushusha vyeo unashindw kujiongeza
mbona izo bahati sipati mimi maana nikikutizma alafu ukatoa mrejesho mzur nahesabu tayar ushatanua
apo wee tafuta chance upate namba za simu kama mzee wake anabana black
alaf unatia samjo