Kwanza nawapenda sana watanzania wenzangu popote mlipo Mungu aendelele kutupa amani na utulivu.Kuna binti anaitwa Ester nilikutana nae kwenye treni nikitoka mwanza kwenda dar (chuo),alikuwa ni mzuri sana na mpole mno,sikuweza mzoea ghafla coz kila mwanaume hasa vijana tuliokuwa ndani ya behewa hilo alionyesha interest kwake,but alikuwa ni muelewa sana na tulipofika Dom alinifuata na kuniomba campan akidai kuwa anahisi nimetulia kwa mtazamo wake na akadai kuwa vijana wengne mle ndani ya behewa wamekuwa wakimtongoza ovyo ovyo,binafsi sikuamin na nilifurahia sana ila sikupenda kumuonyesha ile hali.Dar alifikia kwa dada yake Tabata na akawa ndye grlfrnd wangu coz nilikuwa cngle hakiika tulipendana sanaaa.nikiwa ndyo namaliza mwaka wa 1,alisafiri kwenda kwao kahama na kwa bahati nzuri nilipata scholarship ya kusoma hapa nilipo sasa,alipofika alimueleza shangazi yake kuhusu mm na malengo yetu,mama na baba yake waliachana so alikuwa karibu sana na shangazi yake,na baadaye akaondoka kwenda rukwa alipokuwa baba yake,wakati huo nilikuwa nimeshaondoka TZ ikwa ni mawasiliano ya simu 2.nilikwa nampigia simu kila baada ya siku 3 na sms nyingi 2 coz niliamin kuwa huyo ndye alinipenda kwa dhati sababu sikuwa nakitu kabsa pindi aliponifuta na kunitaka tuwe pamoja (Jeg var med to tomme håndene)-hiyo ni lugha nayotumia hapa nilipo sasa nikiwa na maana nilikwa na mikono miwili mitupu.Cha ajabu simu yake ikwa haipatikani kwa muda mrefu.Nilipomaliza degree ya kwanza niliamua kusoma na masters ambayo ntamaliza mwakani mwezi 5.Naamin ndyo muda mzuri wa kuwa na Ester sababu nina hela ingawa siyo nyingi sna bt nyumba,gari na hela ya biashara naweza kuwa navyo b4 kuanza job ,nashukuru sna Mungu,elimu nzuri na v2 kibao 2 ninavyo sasa.Nafikiri ntakuwa na wakati mgumu wa kujua nani ananipenda.Moyoni naamin kuwa naweza tena kumuona Ester wangu.Naombeni msaada wenu ndugu zangu.