Nitampata wapi?

Sgaga

Member
Sep 28, 2011
76
13
Kwanza nawapenda sana watanzania wenzangu popote mlipo Mungu aendelele kutupa amani na utulivu.Kuna binti anaitwa Ester nilikutana nae kwenye treni nikitoka mwanza kwenda dar (chuo),alikuwa ni mzuri sana na mpole mno,sikuweza mzoea ghafla coz kila mwanaume hasa vijana tuliokuwa ndani ya behewa hilo alionyesha interest kwake,but alikuwa ni muelewa sana na tulipofika Dom alinifuata na kuniomba campan akidai kuwa anahisi nimetulia kwa mtazamo wake na akadai kuwa vijana wengne mle ndani ya behewa wamekuwa wakimtongoza ovyo ovyo,binafsi sikuamin na nilifurahia sana ila sikupenda kumuonyesha ile hali.Dar alifikia kwa dada yake Tabata na akawa ndye grlfrnd wangu coz nilikuwa cngle hakiika tulipendana sanaaa.nikiwa ndyo namaliza mwaka wa 1,alisafiri kwenda kwao kahama na kwa bahati nzuri nilipata scholarship ya kusoma hapa nilipo sasa,alipofika alimueleza shangazi yake kuhusu mm na malengo yetu,mama na baba yake waliachana so alikuwa karibu sana na shangazi yake,na baadaye akaondoka kwenda rukwa alipokuwa baba yake,wakati huo nilikuwa nimeshaondoka TZ ikwa ni mawasiliano ya simu 2.nilikwa nampigia simu kila baada ya siku 3 na sms nyingi 2 coz niliamin kuwa huyo ndye alinipenda kwa dhati sababu sikuwa nakitu kabsa pindi aliponifuta na kunitaka tuwe pamoja (Jeg var med to tomme håndene)-hiyo ni lugha nayotumia hapa nilipo sasa nikiwa na maana nilikwa na mikono miwili mitupu.Cha ajabu simu yake ikwa haipatikani kwa muda mrefu.Nilipomaliza degree ya kwanza niliamua kusoma na masters ambayo ntamaliza mwakani mwezi 5.Naamin ndyo muda mzuri wa kuwa na Ester sababu nina hela ingawa siyo nyingi sna bt nyumba,gari na hela ya biashara naweza kuwa navyo b4 kuanza job ,nashukuru sna Mungu,elimu nzuri na v2 kibao 2 ninavyo sasa.Nafikiri ntakuwa na wakati mgumu wa kujua nani ananipenda.Moyoni naamin kuwa naweza tena kumuona Ester wangu.Naombeni msaada wenu ndugu zangu.
 
Kaka kama ni mzuri kiivo basi mpotezee tu coz kama atakua hajaolewa basi atakua keshazalishwa watoto wa kutosha...!
 
pole sgaga kwa kushindwa kuonyesha nia yako hadi upate hela,kumbe sio mara zote pesa inaweza kununua vitu kama upendo wa kweli au kukupa raha,usijali sana kama ni ipo-ipo tu vs
 
Kwenye Red Ester wako wengi sana Tanzania kwani haujui jina lake la pili?Kama hauji jina lake la pili karaga bao..
 
Jamani msaidieni mwenzenu yuko kwenye lindi la mawazo,anamtaka mchuchu wake Esther.Lakini mmmhhh ninavyojua mambo ya Bongo ....out of sight out of mind! Anyway jamaa akaze roho na kama wakionana tena nashauri waanzie Angaza.
 
pole sgaga kwa kushindwa kuonyesha nia yako hadi upate hela,kumbe sio mara zote pesa inaweza kununua vitu kama upendo wa kweli au kukupa raha,usijali sana kama ni ipo-ipo tu vs
Ni kweli nilimuonyesha sana upendo muda wote bt ni yeye ndye alipotezea,najua pesa siyo kigezo kabsa cha upendo ila walio wengi siku hizi wanaangalia una nini kiti ambacho naaogopa sana
 
ni kweli alikuwa mzuri sana ila mpole mno na mwenye upendo bt asante sana kwa ushauri wako dada
 
pole mwaya km unajua jina la pili mtafute kwenye fb km kajiunga utampata tu ester wako.
 
kama unajua mpaka mtata nenda kamtafute, lakini itakuwa bahati yako sana kama ukimkuta yupo ktk hali yake uliyompendea. Ana Miaka Kama Mingapi Kiumli?
 
haukuwa hata na namba ya mdogo wake au huyo shangazi yake? huna email yake? huna contact yoyote ya rafiki/shosti yake? umejaribu ku mgoogle hujampata? kumsearch kwa facebook/twitter/google plus hayupo?

Kama majibu ya maswali yote hapo juu ni sina/no, basi hesabu maumivu. Pole, subiri tu mwakani ukirudi, upige masafa ya Kahama na Rukwa umtafute Manually
 
daaaaaaaaaah.....
sniper kwa msako huu, asipopatikana atakuwa hayupo kwenye ulimwengu huu...
sgaga fanyia kazi ushauri wa sniper, hoping utafanikiwa...
wish u lucky
 
haukuwa hata na namba ya mdogo wake au huyo shangazi yake? huna email yake? huna contact yoyote ya rafiki/shosti yake? umejaribu ku mgoogle hujampata? kumsearch kwa facebook/twitter/google plus hayupo?

Kama majibu ya maswali yote hapo juu ni sina/no, basi hesabu maumivu. Pole, subiri tu mwakani ukirudi, upige masafa ya Kahama na Rukwa umtafute Manually
Nasikitika sikuchukuchua namba ya shangazi yake,bt thks 4 ur advce mkuu,nashukuru sana,ntajaribu kwenda kahama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom