Nitamkumbatia

Nitamkumbatia

Umeona eeh, napata mshtuko kwa trend hii.
Hahaha sijui kifuatacho ni nini, yaani JF bana, kama magoli ya Ibrahimovic hujui how will he score his next goal, kwa kichwaaa, mguu, kiuno, kiwiko au uso? Ila goi kufungwa lazima.
 
mtumie PM atakuelewa unajicheleweshea fursa bure.u
 
Hikma popote ulipo naomba utuwekee taarab ya nikumbatie.....tafadhal.
Labayka Kim nana.
Kwa bahati mbaya sina hicho kitu hapa karibu lakini kwa kuwa mkuu Mlupembe amefunguka ya moyoni naomba nimsindikize na Zuhura Shaaban hapa akisema ...Oh my darling.

Kwa kweli ni raha sana pale mwandani wako anapofungua moyo wako dhahiri.
Jamani Mlupembe hajarogwa amependwa tu mpaka amejua raha ya kupendwa.
 
Attachments

Shukran jazira Hikma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom