Ulikusudia kuandika text msg ukaingia jf
Nitakukumbatiaaa ! Nitamtomasa mgongoni , nitachezea nywele zako , nitayabusu mashavu yako laini ! Nitakulaza kifuani kwangu... Wewe ni furaha yangu , wewe ni pumziko langu !
Pole na kazi mama watoto wangu , sijalala bado , nakusubiri tulale sota mama amirson . Nakupenda
hahaha Konie bana...lets get prepared for the worst.From Abely Mwinuka to Mama Amirson, naona kuna makubwa yaja.
hahaha Konie bana...lets get prepared for the worst.