Nitamkumbatia

Nitamkumbatia

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
216
Nitakukumbatiaaa ! Nitamtomasa mgongoni , nitachezea nywele zako , nitayabusu mashavu yako laini ! Nitakulaza kifuani kwangu... Wewe ni furaha yangu , wewe ni pumziko langu !
Pole na kazi mama watoto wangu , sijalala bado , nakusubiri tulale sota mama amirson . Nakupenda
 
yuko wapi?? isije kuwa anakumbatiwa,anatomaswa,na kuchezewa nywele na wenzio we unasubiri tu.
 
Hata akikumbatiwa hawataondoka nacho bado atakuwa wangu ! I dont wanna know !
 
mahaba ninyongorote..mahaba nitusue tusu lol
 
duuu....yuko humu jf au kwamba umeshindwa kumwambia huko ndo unamalizia hisia zako huku?:der::der:
 
Hebu tueleze mpaka saivi hajarudi au vipi, naona kama walalamika kiutu uzima
 
Are u dreaming?or? Aya ujumbe ushafka...teh teh
 
una rap au taarab nimependa single yako
 
Stressed....ukute unajihudumia penzi binafsi la sabuni huku unajifariji hivo!!
 
Hikma popote ulipo naomba utuwekee taarab ya nikumbatie.....tafadhal.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom