Nitamjuaje mwizi

Nitamjuaje mwizi

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
1,052
Reaction score
1,306
Habarini wakuu

Najua hapa hakishindikani kitu

Mm na wapangaji wenzangu tumekuwa tukiiibiwa sana yaani ukienda dukani bila kufunga mlango unaibiwa, tena mwizi hata akikuta laptop na simu ataacha laptop atachukua simu

Juzi tu nimeibiwa ka tablet kangu tab A kananiuma mpaka sasa wakuu naombeni mbinu za kumgundua huyu mwizi kabla hata sijahama
 
Pole sana...

Itakua mpangaji wa humo humo...

Weka mtego wa kujifanya unatoka, na usikawie kurudi wala usiende mbali na kwako...

Utakae mkuta ndani ndiyo halali yako...

Cc: mahondaw
 
Mkuu muwekee mwizi wako mtego....ficha simu ikiwa inarecord kwenye manguo...then weka mtego wa kitu cha thamani kwenye meza na uhakikishe watu unaowahisia wanajua hicho kitu kipo kwenye meza then jifanye umepata safari ya ghafla ya kwenda town... baadae ukirudi pitia video zako zilizorekodiwa.
 
Kwa ushauri huu sasa asipomkamata

amshilikishe mng'oa kucha kwa ushauri zaidi
 
Unakaa wapi? Angalia maeneo yakukaa bana.... Pia kabla yakuhamia mahali angalia jirani au wapangaji wenzako ni waaina gani? Kama huendani nao tafuta maeneo yanayokwenda Na hadhi yako...
 
Back
Top Bottom