Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

Si ndiyo mnapenda kusuguliwa hadi cheche za moto ziruke? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wiki inaweza kukatika bado unachua tu wala hutaki mchezo.
Me sipendi hivo bwaana
 
Reactions: BAK
kupakia mkongo ndiyo nini?,yaani sijaelewa kabs.
 
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.

Muda ninaoupenda angalau dk30
we mbona ulipoambiwa uagize pombe ukachagua yenye li chupa kubwa bei kubwa (st.Anna)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…