Nitamfundisha qt shy land

Nitamfundisha qt shy land

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
365
Habari zenu wana JF, kama kuna mtu amesoma education naomba anipe notes za qt ili nimfundishie shy land angalau apate ka degree hata cha gentlemen,Kwa kumsaidia shy land tutakuwa tumetekeleza sela ya Mwl nyerere ya kupiga vita UJINGA , MARADHI NA RUSHWA.
 
Shy land mwenyewe ni mbishi balaaa ! akija hapa utaona muziki wake.
 
We Mangi sela ndo nini? Sema Sera.....halafu una sh ngapi upewe hizo notes? Mjini cha bure salamu tuu
 
Habari zenu wana JF, kama kuna mtu amesoma education naomba anipe notes za qt ili nimfundishie shy land angalau apate ka degree hata cha gentlemen,Kwa kumsaidia shy land tutakuwa tumetekeleza sela ya Mwl nyerere ya kupiga vita UJINGA , MARADHI NA RUSHWA.

kati ya watu ambao hawajielewi ni wewe, na haujui nini maana ya elimu.

naomba unijibu maswali yafuatayo.

(i)nini faida ya elimu, je? kama elimu ni okombozi unataka ikukomboa kwenye nini?

je? kama shule ni mahali popote, kuna haja gani ya kuamini mtu aliyekaa darasani pekee ndio ana elimu,

unahisi mtu wenye ufahamu pekee ni aliyepata degree pekee.?

kwa mawazo yako unaamini kila waliosoma na kupata degree n.k ndio waliojikomboa pekee.
 
We nae umechoka kitaaluma maana maswali yako yote yamechoka ka wewe! Hayo maswal ka vp yapeleke pale bungeni sio hapa!
 
Back
Top Bottom