Nitamani turudiane tena

Mwambie kwamba uliyekuwa nae, tayari ana UKIMWI afu utuletee mrejesho kama atakua tayari kuachana na huyo bwana wake, nna uhakika huu ukweli hujamweleza.
 
Umeniudhi sana kwenye matumizi c badala ya s ..
 
Giza likiingia utaijua tu njia sahihi ya kwenda.
 
Yaani kuna watu wameumbwa kuharibu mahusiano ya watu.mkirudiana wote mpate ukimwiii.huyo binti akimsaliti mmewe atakuja juta baadaye na itakuwa kashachelewa
 
Kama unajiamini utatulia basi muoe..coz kosa Ni kurudia kosa, Mapenzi Ni Safari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…