Stuxnet... haina ubishi, Mkapa was Tanzania's gift from God, i like him and i admire him most.... actually hadi leo ndoto yangu ni kupata wasaa, nikae nae, nipate glass ya black label na kumuuliza mengi sana kuhusu yeye nimeshafanya jitihada nyingi za kumpata na nadhani kabla ya desemba ntamuona.... he is my hero but ya kufungua ofisi ikulu haiwezi kusahaulika
My point hapo ni jinsi unavyoweza kuwa good manager ukadhani mkeo na vision yako
the best quote from Mkapa ni ile aliyowaambia waandishi wa habari wakati wa WEF kuwa "wawe watanzania" - the statement carried 1,000,000,000,000 kilos.... je alieleweka??
nikimuona ntwaambia