Nitalikumbuka jina hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitalikumbuka jina hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukikoj, Jun 13, 2011.

 1. lukikoj

  lukikoj Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naweza nikubali au nikatae shutuma nyingi zilizotolewa kwa jina hili, lakini kwa namna moja au nyingine sitolisahau jina hili "BENJAMINI WILLIAM MKAPA" he was the president real
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  my president ben a.k.a mr clean, ila alichafuka na vumbi kidogo
   
 3. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  You are very right. BEN was the best president so far we have had. Long live BWM
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kwa kuuza migodi yetu kwa wazungu
   
 5. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  long live Ben. Siku moja alisema/alinukuu "wacha kupiga mayowe...." Tunayaona sasa.
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hakuwa 100% complete,aliwasha moto wa kuni mbichi,sasa kuni zimekauka na moto tunauona,ila nikifanya comparison,BEN yuko juu ya wenzie.Kwangu mimi mr.fake smile ndo floppy zaidi ya wote!
   
 7. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  LUKILOJ...mtima wangu umetulia ...uache huo mchezo wa kuuchokonoa, tena nimesema niache.....! huwezi gusa mada ambayo unajuwa sitaweza kukaa kimyaaa.....! ila uliyoeleza yanatosha...!
  NAMKUMBUKA...... ALIRUDISHA HESHIMA YA PESA,WAFANYAKAZI,TANZANIA...... NA SASA MIGOGORO MBALIMBALI INAMTAMBUA YEYE NI NANI....! LIVE BEN....LIVE BEN....!
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  yah. Ben waz a good man
   
 9. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi ni rais bora wa karne ya 21 afrika!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ... yeah, who established a private company kwa kutumia address ya ikulu
   
 11. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii thread haiwezi kupita bila kuichangia. BWM was a great leader wkatae wakubali. Alikuwa na vision, alikuwa na priority, alikuwa na decision na hivi ndiyo vigezo vikubwa vya strategic leadership
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Stuxnet... haina ubishi, Mkapa was Tanzania's gift from God, i like him and i admire him most.... actually hadi leo ndoto yangu ni kupata wasaa, nikae nae, nipate glass ya black label na kumuuliza mengi sana kuhusu yeye nimeshafanya jitihada nyingi za kumpata na nadhani kabla ya desemba ntamuona.... he is my hero but ya kufungua ofisi ikulu haiwezi kusahaulika

  My point hapo ni jinsi unavyoweza kuwa good manager ukadhani mkeo na vision yako

  the best quote from Mkapa ni ile aliyowaambia waandishi wa habari wakati wa WEF kuwa "wawe watanzania" - the statement carried 1,000,000,000,000 kilos.... je alieleweka??

  nikimuona ntwaambia
   
Loading...