- Thread starter
- #41
Epuka kuwasiliana nae na kuwa karibu nae vungaaaaaa!
thanks mkuu,hadi sasa sina mawasiliano nae
Epuka kuwasiliana nae na kuwa karibu nae vungaaaaaa!
umchukia au kumkwepa means you still love him.. face and accept the reality that he's no longer yours..
nadhani huyu si wakwanza..jaribu kumsahau kama hawa wawili ulivyowasahau...
[h=3]Wapendwa naomba jibu[/h] Started by EPORA, 9th April 2012 18:13
[h=3]Niliachwa kisa elfu sitini[/h] Started by EPORA, 10th June 2014 16:36
wewe kama mkristo kuwa na imani yote utayashinda katika yeye akutiaye nguvu...be at peace with yourself and let it go....
ni rahis sana my dea kupotezea tena ukionana nae mchangamkie mwambie kaka mambo vip ,kama vp mzima ww?nambie mambo yako vip then mweleze uko fresh,akikueleza kuwa kuna mwanamke anamtaka mweleze mbona poa tu mkubalie then mwambie mbona mm kuna mwanaume alikuwa ananitaka toka mda mrefu wakat bado tuna mahusiano lkn nmemkubali na tunapendana sana na umegundua ndie mwenye mapenzi kwako,then najua kitamuuma tu,akiwa anakupigia sm jaribu kumpa mkaka yeyote apokee cm amwambie asiwe anakutafuta na kukusumbua kwani unamilikiwa na mtu,halafu endelea kuwa busy soma kwa bidii,hata kama unampenda jikaze litapita tu ,
Habari wakuu,
Ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe, nimeumia hadi nimekuwa sugu, kinachonileta kwenu ni hiki, wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti kuna mwanamke anamtaka afanyeje?
Nilichukia sana nikamjibu mkubalie, akadai nitamcheka , ninachoomba ushauri ni VP nitamkwepa huyu maana nasoma nae kozi moja na darasa moja, kwa sasa hatuna mawasiliano yoyote maana najua ana MTU japo simjui.
Kuna kipindi tushapangwa kuwasilisha mada ila tulikuwa hatujaachana, wajuzi tafadhali maana tutakuwa wote kwenye vipindi kwa miezi saba na darasani tupo sabini nataka nifaulu plz nipeni mbinu.
Umesema mpo 70 class... nina imani wanaume hawapungui 20 hapo. Jichukulie mwingine...
Keep yourself busy, muignore fanya mambo ambayo yanakupa raha Mungu atakupa hitaji la moyo wako kama ni presentation fanya nae jifanye hujaathirika na kuachana kwenu . Lakini ukijitiisha huruma na kujiliza liza utamfanya ajitukuze.
The basics hapa ni mawili,SOMA SANA kashakuacha umeumia na shule pia ikushinde,naaah,make sure unafauluuu tena kuliko yeye ikibidi.,DATE OTHER GUYS inahusu kukaa na maumivu ye ana mtu mwingine,he no longer cares ,get to know other men,(dont sleep around,utajuta) and have funnnn ,utamsahau yeye na maumivu,and it will give u a better chance to meet a potential suitor...
Sweetheart am just the PM moderator...!lol
Kwani bado upo chuo shem!???

Pole, wazungu walisema "Don't poop where you eat". Ni shida sana kuanzisha mahusiano kazini na chuo unapotegemea kipato. Inabidi ujiweke busy
basi nkajua na huku,..nah sipo chuo mkuu...afu hiyo shem?nishaomba muongozo