Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
- Thread starter
-
- #181
Kama anataka mtu asie na kasoro akachimbe udongo mfinyazi atengeneze binadamu aliekamilika
Ndio maana nimeibadilisha mkuu.Hahah ni kweli kabisa. Unakuta mada serious halafu emoji inacheka.
OkAmerekebisha, mwanzo hakuandika hivyo.
HapanaIkiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua umekosea sana sababu wewe hujapewa jukumu la kulipa visasiIkiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuJifunze kulipa wema siku zote ubaya hauzai matunda Aggy,kumbuka binadam tunatofautiana vingi tu tabia kujali kupenda kuvumilia n.k. cha kufanya ww mtendee wema anaekulipa ubaya kwa kufanya hivi utaruhusu milango ya kher kufunguka kwako na utakua mwenye furaha siku zote ,n jarbu tu ilo
Sent using Jamii Forums mobile app