Nitakuua!!!!!

huyo atakuwa mrembo by nature kama siyo manoah au lara1 sijui ni mimisa?ila nawasiwasi sana na heaven on earth mmmmgh mokoyo!sina uhakika na masele hawa watu8 hawa!chezea uhai wewe muulize .......mamdenyi
 

.....andika wosia, 'mdomo ni mlango wa yaliyojificha rohoni!'
Kama amedhamiria hilo, ni ibada tu na kumtanguliza mwenyezi Mungu kila siku.

Pole, unaishi na "kubwa la maadui!"
 
ahahahahaahaaaaaaa...leo nimecheka sina mbavu..wewe mkeo anakuambia atakuuwa then unakuja kutuuliza sie..ahahahaha. kama vipi awe mke wa jf uone tutavyodili naye.

ANYWAY...tahadhari kabla ya hatari ni kitu kizuri..najuwa unahofia malezi ya dogo wa miezi 9..ila mlie timing mtoto akuwe then mwambie mkeo sasa tafute mwanaume wa kumuuwa mie nasepa na mwanangu nikamlee hukooo niendako....hapo atatia akili kumkichwa
 
just for proper analysisi of your case

1-UMRI WAKO BWANA----
2- UMRI WAKE MKEO-----
3-KABILA LAKO BWANA----
4-KABILA LAKE MKEO----
5-FAMILY HISTORY JUU YA MAGONJWA YA AKILI----
6-HISTORIA YA MAGOMVI NA VYANZO VYAKE-----
7-HATUA ZILIZOCHUKULIWA NA KILA MMOJAWENU KATIKA MAGOMVI YALIYOPITA------
8-UHUSIKA WA WAZAZI WA PANDE ZOTE KATIKA KUTATUA MATATIZO YENU YA NDOA----
9-NINI MAAMUZI YA WAZAZI KAMA WALISHIRIKISHWA KWENYE MATATIZO YALIYOWAHI KUTOKEA
10- USHIRIKISHWAJI WA VIONGOZI WA KIIMANI KATIKA MATATIZO YENU YA NDOA----
11- NINI YALIKUWA MAAMUZI YA VIONGOZI WA KIIMANI KWA MATATIZO YENU YALIYOPITA----

TAFADHALI TOA MAJIBU YA HAYO MASWALI HAPO JUU ILI TUKUPE MWELEKEO WA KITAALUMA KIDOGO UWEZE KUTATUA TATIZO LAKO.
 
ni kweli ,ila kukosana ni kwa kawaida,ila siyo mpaka umwambie mwenzio kuwa utamuua.na siyo mara moja,ni kila mara,umekuwa km wimbo

basi huenda hayuko sawa
kisaikolojia,maumivu ya moyo
ni kitu kingine kabisa,jaribu kutafuta
njia ya kumsaidia,wengi yameshatukuta kama hayo!!
 
chukua RB kabisa umuonyeshe,ili ajue siku nyingine aanze kujicontrol
mkuu ukishamchukulia RB huyo si mke tena bali ni muhalifu, jee inawezekana kweli unakaa, kula na kula ya muhalifu... itakua hamna ndoa tena hapo. Hizo kesi niza kawaida sana kwa sisi wazoefu, atakute shida ilianza wapi, ajaribu kukaa ma mkewe kwa ukaribu zaidi, amuonyeshe mapenzi ya kweli hata kama ana stress za kimaisha basi amshirikishe mkewe hadi mke aone thamani yake kwa mumewe, ni ngumu lakini inawezekana, sisi tumeshapitia huko kote na tuko salama tu....
 


maombi yanasaidia, ila sasa kwa wengine ni ukiwa katika kilele cha hasira hata sala huwezi kusema, unabaki kulia na kufanya mengineyo!!!
Elli asante ntatumia dawa hii ntakupa majibu (though sosoliso bado hajaanza mawenge)
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie Paloma ameshaniambia ataniua mara nyingi kiasi mpaka nimekuwa mwenyeji huko peponi lol..
Kama ukihesabu mara ambazo waifu wako anakuambia atakuua (wakati mkiwa kwenye siriazi ugomvi) halafu ukazilinganisha mara ambazo anakuambia anakupenda (mkiwa kwenye hali ya kawaida) utapata jibu kama yuko siriazi au anasema out of anger.. Ila kitendo cha kuwapo wewe mpaka unakuja kuandika post hii inamaanisha hayuko siriazi huyo.. Unamkera sana mpaka anasema hayo maneno.. Mnaumizana kwa maneno mnayoongea.. Msifungue vinywa vyenu wakati mkiwa na hasira..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…