Nitakuua!!!!!

Kwanini usifunguke na yanayopelekea kukutamkia kukuua? Kwani enzi za uchumba aliwahi kukutamkia au ndo upeke peke wetu mashababi wa kiume ambapo mnatafuta justification tu hapa!
 
Ntaikumbuka ndoa yako kwenye maombi yangu, sihitaji kujua dini yako wala imani yako but trust my word utaona majibu
 

Subiri siku akikuua ndiyo utaamini alikuwa anamaanisha nini?
 
Amekwisha kuonya ,hivyo usipochukua hatua utakuja kujilaumu ukiwa futi sita chini kama utaweza!!!
 
Pole sana mkuu. Kwakweli anaposema atakuua basi huwa anamaanisha ila ni hasira za muda mfupi baadae huisha. Mwanamke mwenye wivu kuua au kujiuwa mwenyewe haoni shida, cha msingi ujaribu kupunguza maongezi na wanawake anaohisi wanamuibia, wasitume msg kwenye simu, na kama ikitokea akiona ujumbe wa ajabu basi ongea nae kwa utaratibu kabisa na kumuonyesha kwamba huyo mwanamke hamna uhusiano wowote. Lakini jaribu kuwa nae karibu mpe maneno mazuri, n.k. Nafahamu uko katika hali gani mkuu, lakini kuwa na busara taratibu utaweza kuituliza hali hiyo, namalizia kwa kukupa pole nyengine mkuu....
 
Umeongea vizuri sana mkuu ila hilo la kumripoti polisi sio zuri kwa sababu polisi watakuharas na watapendekeza labda wamuweke ndani japo sikumoja itakua shida kwako pia mkeo ataona huna shada nae tena ndio ukaamua kutembea na mademu wengine (hata kama hauna dem) ndio maana hujali hata akifungwa maisha blaa blaaa tele..
Inabidi avute subira na afuate ushauri wako uliompa....
 
Aise bro take right action before her action, atakuua kweli itabakia kwa ndungu haya maneno tungelijua wakati mtu kashazikwa, waeleze ndugu zake pamoja na ndugu zako then huyo mkewako atakua mlinzi wako usijeukapata tatizo lolote, hawa viumbe ni balaaa usione vinawarembulia.
 
Hatari sana kwa mwanamke kutamka maneno hayo kwa mumewe,imezoeleka kwa wanaume kusema hivyo wake zao pindi wanapokuwa na hasira na sio wanawake,tahadhari na uchukue hatua
 
Usiwe unalala fofofo, atakuchoma kisu cha kifua na akishindwa hilo atakuwekea sumu kwenye msosi.

Usije ukasema hatujakuonya.

sasa akisharestishwa in peace//PIECES atakujaje humu kutoa ushuhuda.. Nimecheka kinoma
 
kimtokacho mtu ndicho kimjazacho,one day atafanya kweli!
 
Tahadhari ndugu yangu. Huyo sio mke bali MUMIANI. IPo siku atakunyonya DAMU.
 
Ipo siku atatimiza ahadi yake, kwako itakuwa too late.:shetani::shetani:
 

Ulichoongea ni sahihi mkuu, but my intention ya kumwambia aende polisi si kwa maana ya kumshitaki kw akumfungulia jalada laa, but km kuweka akiba ya maneno tu na kuelezea situation baaasi JUST IN CASE.

Though kwa upande mwingine nakubaliana na wewe kabisa kwamba je, respond ya polisi itkuwaje baada ya kupewa taarifa, je wantaifanya anonymous for the time being au ndo wataforce kumkamata na taratibu zao zingine....shida itakuwa hapo na consequence ni hizo ukizozielezea.

Ahsante mkuu
 
huyo muwahi kaka kata kichwa huyo , kama ni mke wa kihangaza au mtusi ujue anakupimia ni kweli
 
huyo muwahi kaka kata kichwa huyo , kama ni mke wa kihangaza au mtusi ujue anakupimia ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…