Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
bibie hakuna action ambayo inaweza kumpelekea mke kumbwambia mumewe au mume kumwambia mkewe kuwa nitakuua, hakuna:yell:
Wazo zuri
Lakini hatari kwa Ndoa ya jamaa
samahani nimepitiwa KOKUTONA ujue hili wiki nina marafiki kama watatu wamefanyiwa mambo ya ajabu na wapenzi wao iimenikera sana hii... sanahani, najua wewe hauko ivyo...
Usijali best...wape pole sana....sikatai wapo wa dizaini hizo but most of us we are good mothers...pole na wewe it seen the situatio was worse.
Aisee kama ni mmachame jua anamaanisha
We unafikiria ndoa na maisha yake je?
wewe unaweza ukawa chanzo cha tatizo
mkeo anaonekana kukata tamaa mpaka kufikia hayo
na siku zote anaekuua hasemi anasuka mipango tu!!
angalia unapomkwaza mwenzio,mkae muongee na ujirekebishe!!
wanaume asiewajua nani khaaaa!!