mpeleke polisi lolote likitokea awajibike
Hizi ndoa hizi!!!
michosho ni kweli atakuua, unadhani wanamaana hao...
Aisee itabidi, maana kufa ni hatari kuliko kuvunjika kwa ndoa.Wazo zuri
Lakini hatari kwa Ndoa ya jamaa
Aisee itabidi, maana kufa ni hatari kuliko kuvunjika kwa ndoa.
uko sahihi kabisa mkuu, wanawake ni viumbe wa ajabu sana, never trust a woman under the sun:yell:
Mokoyo mie hawa watu nawachukulia kama mashetan vile.... hawaeleweki eleweki kabisa hawa viumbe.
tatizo linaweza kuanzia kwako
cos from no where mtu hawezi kukwambia ntakuua
check ur actions first,before we start judging her
maneno huumba..chukua hatua