Nitakusaidia kupata usafiri kipindi hiki cha sikukuu

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Pamekua na changamoto kubwa sana ya usafiri hasa ikikaribia kipindi hiki cha sikukuu, hivyo mimi kama mmiliki/mdau wa chombo cha usafirishaji natoa ofa ya kukusaidia kupata usafiri wa pale unakotaka kwenda iwe,Mombasa, Tanga, Arusha, Nairobi, Dodoma, Mwanza, Bukoba hadi Mtukula, Mbeya, Tunduma, Kyela, Songea, Kigoma, Manyara, Mtwara.

Pia kwa wale watakaohitaji bus na costa za kukodisha ninaweza kuwasaidia pia.

Maelezo zaidi nicheki PM
 
Shukrani mkuu, nashukuru uliweza kuniunganisha na Tahmeed coach, walinihudumia vizuri sana
 
Back
Top Bottom