Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,768 Jun 6, 2015 #1 Jinamizi la nyimbo kuvuja limeendelea kumuwinda Diamond Platinumz. Safari hii ni wimbo uitwao nitakukumbuka. Diamond Platnumz - Ntakukumbuka Attachments Diamond Platnumz - Ntakukumbuka [Umevuja] .mp3 Diamond Platnumz - Ntakukumbuka [Umevuja] .mp3 4.5 MB · Views: 1,140
Jinamizi la nyimbo kuvuja limeendelea kumuwinda Diamond Platinumz. Safari hii ni wimbo uitwao nitakukumbuka. Diamond Platnumz - Ntakukumbuka
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,628 Jun 6, 2015 #2 Nimeona uzi mwingine wanadai kaimbiwa ex wake wa juzi Nimewauliza aliutekodi lini na kamtaja wapi hawasemi maana D amekuwa na ma ex wengine pia. Labda mtu atajibu hapa Diamond ana nyimbo nyingi anarekodi vipindi tofauti hata za zamani bado anazo ajazitoa alisema yeye.
Nimeona uzi mwingine wanadai kaimbiwa ex wake wa juzi Nimewauliza aliutekodi lini na kamtaja wapi hawasemi maana D amekuwa na ma ex wengine pia. Labda mtu atajibu hapa Diamond ana nyimbo nyingi anarekodi vipindi tofauti hata za zamani bado anazo ajazitoa alisema yeye.