Hakika tutaiona mbingu mpya na nchi mpya, huku tukitembea kwenye barabara za dhahabu, nami nikamuona eliya na wote walionitangulia in nibebe's rose muhando cc min -me thibitisha
Sio mbaya ata mimi,nilikuwa hapo lakini nilimake decision kwamba
Nitake,nisitake,nihamue,nisihamue kifo kipo on my side sasa nikaona kama ni hivyo sina haja ya kuogopa kitu naishi nacho kila siku,pole sana ila na uhakika upo kweny 25s kuenda juu ndio muda wa hayo madude kichwani kwa sisi wanaume
Mkuu karibu kwangu ni kufungulie dunia
Hadi hapo ulipo ulisha kufa mara kibao tu sema hukumbuki
Mwenyewe uhakika hawafi
Ni uamsho wa daraja la juu wa mwanadamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.