Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,077
Nipe maelekezo mkuunidalili nzuri sana kuliko unavodhani, nintakuja kukupa maelezo mazuri kuhusu hiyo stuation ulionayo katika fikra zako.
Jitahidi uwe karibu na Mungu ila swala la lini, wapi na namna utakavyokufa wala usiwaze ni kama ulivyozaliwa kwani ulijua ni lini, wapi na kwa namna gani?Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi
Wakuu hii hali ni ya kawaida? Wataalamu wa kiroho naombeni mnieleweshe kidogo na hii hali inaashiria nini?
kufa mchezo nin..?Nilishawahi kupata shida nikiwa nimelala mara ghafla nashindwa kupumua,kwa namna nivyosimama kwa nguvu ,na muungurumo nilioutoa kupamba na hiyo hali.Kama ndio roho inatokaga hivyo mbona kazi ipo.
Kwa mada yako ulivoandika inaonekana ww ni MuislamuHaya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi
Wakuu hii hali ni ya kawaida? Wataalamu wa kiroho naombeni mnieleweshe kidogo na hii hali inaashiria nini?