Nitakufaje? Na lini? Wapi? Nikifanya nini?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,070
Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi

Wakuu hii hali ni ya kawaida? Wataalamu wa kiroho naombeni mnieleweshe kidogo na hii hali inaashiria nini?
 
Mi nawaza namna ya kukutana na mshangazi dot com aka Binti wa zamani ,we unawaza kufa kufa
20250627_132506.jpg
 
Unajipa stress kwa kitu ambacho huna control nacho, huo ni wendawazimu
 
Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi

Wakuu hii hali ni ya kawaida? Wataalamu wa kiroho naombeni mnieleweshe kidogo na hii hali inaashiria nini?
Jitahidi uwe karibu na Mungu ila swala la lini, wapi na namna utakavyokufa wala usiwaze ni kama ulivyozaliwa kwani ulijua ni lini, wapi na kwa namna gani?
 
Mim nawaza pesa, wew unawaza kifo mkuu.

Maana yake unakivutia kifo, omba sana mkuu hiyo ni roho ya mauti inakuandama.. kemea
 
Nilishawahi kupata shida nikiwa nimelala mara ghafla nashindwa kupumua,kwa namna nivyosimama kwa nguvu ,na muungurumo nilioutoa kupamba na hiyo hali.Kama ndio roho inatokaga hivyo mbona kazi ipo.
 
Chunga usije ukajinyonga tu mkuu!
Unawazaje kitu ambacho hata daktari msomi wa kiwango gani hawezi kujitabiria!?
 
Zipo eight occult powers.
1. The power to access the Akashic Record.
2.The power to communicate telepathically with animals.
3.The power to know the probable time and cause of your death.
4. The power to communicate telepathically with those of equal spiritual status as yourself.
5. The power of clairvoyance.
6.The power to know your past lives.
7. Meditation and the power to do astral traveling.
8.
 
Nilishawahi kupata shida nikiwa nimelala mara ghafla nashindwa kupumua,kwa namna nivyosimama kwa nguvu ,na muungurumo nilioutoa kupamba na hiyo hali.Kama ndio roho inatokaga hivyo mbona kazi ipo.
kufa mchezo nin..?
Pia mim hyo hari irishawah nikuta, nilijitupa kwa nguvu kukomboa nafsi yangu
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Haya maswali yananizonga sana kichwani mwangu almost kila muda ya yawezekana kila siku na haya mawazo yameanza kuja baada ya kuanza kujitegemea na maisha yangu sijajua kama ni ugonjwa wa akili ama ila ni mawazo ambayo yananifanya niwe karibu au nijitahidi atleast kuwa na karibu na mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi

Wakuu hii hali ni ya kawaida? Wataalamu wa kiroho naombeni mnieleweshe kidogo na hii hali inaashiria nini?
Kwa mada yako ulivoandika inaonekana ww ni Muislamu

Muislamu siku zote anatakiwa awe mwenye kuamini nguzo za imani ya dini yake ukiamini haya hutoweza kukaa ukatafakari mambo ya ajabu kama haya

Hapa ni sheitwani ndo anokuchezea
 
Hakika tutaiona mbingu mpya na nchi mpya, huku tukitembea kwenye barabara za dhahabu, nami nikamuona eliya na wote walionitangulia in nibebe's rose muhando cc min -me thibitisha
 
Back
Top Bottom