Nchi kuwa gizan n matokeo ya ule mkataba feki wa Edward ngoyai lowasa
waziri mkuu wa kwanza Tanzania kulazimishwa kujiudhuru kwa ufisadi na ujambazi
ndio unaosababisha nchi iwe gizan mpaka sasa
Lakin mlivyokuwa mazezeta vijana wa bavicha
Yeye huyohuyo ndo mnaemshabikia saiv
Lofa ni lofa tu
Magufuli atalikomesha jambazi liitwalo lowasa na jangili liitwalo sumaye
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.
Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .
HAPA KAZI TU
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.
Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .
HAPA KAZI TU
Nafikiria wanaCcm watafute njia nyingine ya kuingia magogoni ila ile njia ya kumchafua Mamvi imeonyesha kushindwa.Mamvi idadi wanaomuunga mkono inazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu kila siku.
Kunywa juice ya ----- maana Edo soon anaingia magogoni hiyo mizizi ya kifisadi inaenda kung'olewaYaaan nchi yangu Tanzania inagawanwa na haya makina rostam dah
Hivi Tanzania tulimkosea nn rostam hata kutaka kutufilisi nchi yetu kias hiki
Alafu kinachoniuma malofa na wapumbavu wasio wazalendo wanaendelea kushabikia haya mambo pasipokujua lengo la hawa wahaini dah