Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Huna akili
Hutaichagua ccm kisa imeleta umeme mpaka vijijini
Kweli we kilaza

Nimeamini wanaoishabikia ccm ni mazezeta wa mwisho tz hakuna mtu anaejielewa anaeza shabikia huu ujinga wanaotufanyia hawa majambazi NI MWEZI WA NGAPI NCHI IPO GIZANI ALAFU UNATAPIKA KUA UMEME ADI VIJIJINI? WE UTAKUA NDONDOCHA SI BURE!
VIVA UKAWA!!!!
 
Mpaka leo hii tunaongelea umeme na watu wanasimama majukwaani wana kenua meno, hii nchiinatia aibu ya kichefuchefu
CCM ni chama kilicho feli vibay sana... kwanza hakina haja ya kusubiri 25 kilitakiwa kuombwa kustaafishwa kwa hiari
 
Yaaan nchi yangu Tanzania inagawanwa na haya makina rostam dah

Hivi Tanzania tulimkosea nn rostam hata kutaka kutufilisi nchi yetu kias hiki

Alafu kinachoniuma malofa na wapumbavu wasio wazalendo wanaendelea kushabikia haya mambo pasipokujua lengo la hawa wahaini dah

acha unafki we fa.la CCM OUT HUU NDIO MWISHO WENU
VIVA UKAWA!!!!
 
Lowasa wanyooshe hao, dah itakua safi sana. Hiyo team nmeipenda personally kama p square. Viva lowasa viva ukawa
 
Hao walioishika kwa muda wa miaka 54 wameifanyia nini cha kujivunia wewe ? UMEME UPO WAPI? MBONA NCHI IPO GIZANI? MBONA SHILINGI INAZIDI KUSHUKA THAMANI? WEWE NI TAAHIRA
VIVA UKAWA!!

Hao walioifikisha nchi hii hapa ndio Hao waliokimbilia Ukawa
Richmond ni Lowasa mhusika pamoja na Rostam
 
Hao walioifikisha nchi hii hapa ndio Hao waliokimbilia Ukawa
Richmond ni Lowasa mhusika pamoja na Rostam

kwa hiyo unataka kuniambia wengine waliobaki huko NI WAADILIFU NA WATIIFU KWA WANANCHI WAO? RASILIMALI ZETU, KODI NA VINGINE VIMETUMIKA IPASAVYO? ACHA UPUNGUANI WEWE... if you real mean what you said UKAPIMWE AKILI.
VIVA UKAWA!!!
 
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU

poa ujinga. Pombe anaenda kwenye zizi la ng'ombe? Au kuna ikulu nyingine??
 
Badala upiganie umasikini wako,ujitume na kuwakataa CCM na Serikali yake ,unajitutumua ,na hivyo vijitu Saba heti mafisadi..jitume wewe..acha fikra mgando za kujazwa ujinga na ma CCM..heti ufisadi,Fisadi peleka kwenye vyombo vya sheria..sio kulalamika mitaa,,utesama kuku aliyekatwa shingo na kurukaruka.Uzi wa akili ndogo sana..autakiwi kuwepo humu.
 
CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,Maandalizi kabambe ya Goli la Mkono,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti na Wasanii mizigo wakati wana Mabadiliko ni Wananchi ambao hawanunuliki,sombasomba ya wanachama na wasio wanachama kwa malori na mabasi,honga honga ya fedha,kanga,vitenge,Tshirts na Kofia,kejeli na matusi kwenye majukwaa ya Siasa,kusambaratika kwa timu ya watu 32 ya Kampeni ya CCM,n.k!Wana UKAWA tunasema ‪#‎HapaZikaTu!..Lowassa TOSHA KABISA!!..Mwenyezi MUNGU atawaumbua kwa kila Ovu walipangalo!!!
 
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU

Tanzania ina watu wa ajabu sana, kama umasikini unaharibu akili basi hii ndo proof. Watu ambayo tumewapinga kwa karibia muongo mzima. Eti leo ndo tunawashabikia. Hata viongozi wetu vijana akina Mbowe na Mbatia ambao tumewaamini mwaka hadi mwaka, wametugeuka na wameangalia matumbo yao na kutelekeza masilahi mapana ya taifa hili.
 
Alafu unaweza kuta wewe ni baba wa familia wa kutegemewa na umeandika upuuzi kama huu.. fungua macho yako yaone mbali kuzidi upeo wa akili yako.... mabadiliko hayana budi kutokea kama una ushahidi peleka mahakamani.. kama huna SHUT UP!!
VIVA UKAWA!!!
 
Nimeamini wanaoishabikia ccm ni mazezeta wa mwisho tz hakuna mtu anaejielewa anaeza shabikia huu ujinga wanaotufanyia hawa majambazi NI MWEZI WA NGAPI NCHI IPO GIZANI ALAFU UNATAPIKA KUA UMEME ADI VIJIJINI? WE UTAKUA NDONDOCHA SI BURE!
VIVA UKAWA!!!!

Nchi kuwa gizan n matokeo ya ule mkataba feki wa Edward ngoyai lowasa
waziri mkuu wa kwanza Tanzania kulazimishwa kujiudhuru kwa ufisadi na ujambazi
ndio unaosababisha nchi iwe gizan mpaka sasa

Lakin mlivyokuwa mazezeta vijana wa bavicha
Yeye huyohuyo ndo mnaemshabikia saiv
Lofa ni lofa tu

Magufuli atalikomesha jambazi liitwalo lowasa na jangili liitwalo sumaye
 
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!

Tanzanians YOU ARE SO STUPID!!!! Hivi hiyo picha huoni kabisa kua imetengenezwa??
Wabongo mkiona picha yoyote ile ilimradi imepangwa vizuri tu mnaamini asilimia 100.. Na wajanja washaona jinsi mnavopelekwa kijinga na picha hizi wanakaa wanatengeneza kila siku. You people are so stupid.. Editing ya picha ni kitu hata mtoto mdogo siku hizi anafanya ilimradi awe na computer. Ujinga kweli mzigo
 
CCM ipo katika hatua za mwisho za urushaji mateke ya kukata roho,dalili ni nyingi,Push ups katika mikutano ya Siasa,Tafiti tata za Twawezwa na REJECT,Maandalizi kabambe ya Goli la Mkono,iga iga ya kauli mbiu,ahadi danganya toto zisizohesabika wala kutekelezeka,Kuandaa matamasha badala ya mikutano,nunua nunua ya Viongozi wasaliti na Wasanii mizigo wakati wana Mabadiliko ni Wananchi ambao hawanunuliki,sombasomba ya wanachama na wasio wanachama kwa malori na mabasi,honga honga ya fedha,kanga,vitenge,Tshirts na Kofia,kejeli na matusi kwenye majukwaa ya Siasa,kusambaratika kwa timu ya watu 32 ya Kampeni ya CCM,n.k!Wana UKAWA tunasema ‪#‎HapaZikaTu!..Lowassa TOSHA KABISA!!..Mwenyezi MUNGU atawaumbua kwa kila Ovu walipangalo!!!
Mwenyezi Mungu yupi? labda wa kwako peke yako. Kama Menyezi Mungu ni wa wote Lowassa hawezi kushinda na nina kuhakikishia kwa aslimia zote. Humjui Lowassa na hujui kuwa Lowassa ndo mwanzilishi wa haya yote? Kuna cheo ambacho Lowassa amepata bila kutoa rushwa au kumhonga mtu yoyote katika nchi hii? Muone asikofu Gwajima alivyo utelekeza uasikofu wake kwasababu ya pesa za Lowassa. Kama hujui, uliza uambiwe? Wajumbe wa NEC wa CCM walipewa nini? wakati safari ya matumaini inausaka Urais ndani ya CCM. Lowassa ndo alikuwa na mtindo huo-huo wa kuwatumia hawa TWAWEZA wakati yupo CCM, Siye hatuoni akipambana na lolote kwevye CCM, bungeni au serikalini lakini utafiti ukitoka, ulikuwa unamuonyesha yuko juu ya Dr.Slaa. Tulipiga kelele nyie mkatubeza mukatulazimisha tuamini utafiti wao, wala hata Lowassa hakujitokeza kipindi hicho kuokosoa au kuuchambua au kuupongeza. Imetokea nini? mnataka tena tuupinge utafiti wao? na huku hicho kipindi mlitulazimisha kuuamini? Mwl. Nyerere alisema Rais tunaetaka kumchagua lazima tumtetee wote. Na Siyo kikundi cha watu wachache. UKAWA karibia kila siku wao ni kulalamika na kumtetea Lowassa tu.
 
Back
Top Bottom