Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Nitakipinga kitendo hiki hadi 25 October

Reuters

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
375
Reaction score
160
NITAKIPINGA KITENDO HIKI.

Nitaendelea kukipinga kitendo hiki cha kutaka kuipora nchi yetu nia ya watu hawa ni nini? SAY NO .

HAPA KAZI TU
 
Attachments

  • 1443583772524.jpg
    1443583772524.jpg
    45 KB · Views: 1,742
Hapa Kazi tu.

Walimu baadhi yao walioajiriwa mwezi wa 5 mwaka huu wamekuja kulipwa mshahara wa mwezi wa 9.... huku wakiwa wanadai mishahara yao kuanzia may, june, july na august.....

Hapa Kazi Tu.

Mabilion ya mapesa yakitumika kwenye kampeni huku watu mahospitalini wakikosa dawa na wamama wajawazito wakilala wanne wanne kwenye kitanda kimoja.

Hapa Kazi Tu.

Nchi haina viwanda huku vijana wakitanga tanga mitaani hawana ajira, serikali ya CCM ikiwa ipo madarakani zaidi ya miaka 50.

Hapa Kazi Tu.

Rais wako aliulizwa kwann Tanzania ni maskini ilhali kuna rasilimali nyingi alijibu hata yeye hajui kwann

Hapa Kazi Tu.
 
Huu ni uhaini wa hali ya juu
Yaaan hatuwezi kukubali
Nitaupinga hata maisha yangu yote

Huu ndio mfumo wa kishetan
 
nitaipigania tanzania yangu mpaka nihakikishe ha2ingii mikonon mwa wakolon kwa kumchagua kiongoz mwadilifu ipo waz misaada yote ya kampen imetoka nje ni zaili wakolon wapo njian ewe mtanzania mwenye mtizamo chanya jitathimin hapa KAZI TU
 
Last edited by a moderator:
"WACHINA WAMEPEWA GESI BURE MIAKA SABA" Magufuli
 
Sitaichagua CCM kwa sababu ya umeme tu.

Umeme,umeme, umeme.
 
Nafikiria wanaCcm watafute njia nyingine ya kuingia magogoni ila ile njia ya kumchafua Mamvi imeonyesha kushindwa.Mamvi idadi wanaomuunga mkono inazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu kila siku.
 
nitaipigania tanzania yangu mpaka nihakikishe ha2ingii mikonon mwa wakolon kwa kumchagua kiongoz mwadilifu ipo waz misaada yote ya kampen imetoka nje ni zaili wakolon wapo njian ewe mtanzania mwenye mtizamo chanya jitathimin hapa KAZI TU

unazungumzia wakoloni gani zAid ya haya mashetani tulioishi nayo kwa Zaid ya miaka50+???
ccm ni afadhali ya wakoloni kwani ni wezi na ni wauaji
 
Last edited by a moderator:
nitaipigania tanzania yangu mpaka nihakikishe ha2ingii mikonon mwa wakolon kwa kumchagua kiongoz mwadilifu ipo waz misaada yote ya kampen imetoka nje ni zaili wakolon wapo njian ewe mtanzania mwenye mtizamo chanya jitathimin hapa KAZI TU

una KAZI wewe au usikute ni mzururaji
VIVA UKAWA!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa Kazi tu.

Walimu baadhi yao walioajiriwa mwezi wa 5 mwaka huu wamekuja kulipwa mshahara wa mwezi wa 9.... huku wakiwa wanadai mishahara yao kuanzia may, june, july na august.....

Hapa Kazi Tu.

Mabilion ya mapesa yakitumika kwenye kampeni huku watu mahospitalini wakikosa dawa na wamama wajawazito wakilala wanne wanne kwenye kitanda kimoja.

Hapa Kazi Tu.

Nchi haina viwanda huku vijana wakitanga tanga mitaani hawana ajira, serikali ya CCM ikiwa ipo madarakani zaidi ya miaka 50.

Hapa Kazi Tu.

Rais wako aliulizwa kwann Tanzania ni maskini ilhali kuna rasilimali nyingi alijibu hata yeye hajui kwann

Hapa Kazi Tu.

CCM out, kazi wakazifanyie huko Lumumba
 
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!
 
Sikubali nchi yangu ichukuliwe na mafisadi kiasi hiki

Hao walioishika kwa muda wa miaka 54 wameifanyia nini cha kujivunia wewe ? UMEME UPO WAPI? MBONA NCHI IPO GIZANI? MBONA SHILINGI INAZIDI KUSHUKA THAMANI? WEWE NI TAAHIRA
VIVA UKAWA!!
 
Yaaan nchi yangu Tanzania inagawanwa na haya makina rostam dah

Hivi Tanzania tulimkosea nn rostam hata kutaka kutufilisi nchi yetu kias hiki

Alafu kinachoniuma malofa na wapumbavu wasio wazalendo wanaendelea kushabikia haya mambo pasipokujua lengo la hawa wahaini dah
 
Back
Top Bottom