Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Na hiyo Kigamboni City ilipigwa picha na nani? Huelewi maana ya concept pictures na photography. Tatizo lako ni elimu, hivi mnafikiri kuelimika ni kukaa kwenye hizo kuta nne tu? humo mnajazwa ujinga bila kujijuwa.
Rais aliyeweka historia ya kuporomoka kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwasababu ya kashfa ya ufisadi wa Richmond na ushkaji kwenye safu za uongozi wa serikali.
Hapo kwenye blue unazungumzia picha ???
Hebu check hii picha hapa chini !!! The whole of Dar es Salaam city center inatosha kwenye picha (picha ya kupigwa kwa kutumia camera).
Ila wewe ulisema chuo kimoja ambacho ni eneo dogo sana, hakitoshi kwenye picha moja ??
Angalia vizuri picha hii, ina-cover eneo kubwa kuliko chuo kikuu cha Dodoma !!!
Upo hapo ???
Baada ya kuangalia picha vizuri, unaonaje kama yale maneno yako kwenye red kuwa yanakuhusu wewe mwenyewe zaidi !!!??
Hapo Vipi ???
Rais pekee katika historia ya Tanzania kwa kumtajirisha mtoto wake hadi kuwa billionea mkubwa sana.
Mtoto wake amemaliza chuo hivi karibuni tu lakini hivi sasa ni bilionea 'wa kufa mtu' aka 'young billionaire !!'
Unachokiona hapo ni nini? upunguani mwingine, ni wa hali ya juu sana. Tatizo lako ni elimu.
Ooops, unataka kujua hapo kwenye red kuwa nani zaidi (kwenye upunguani) ???
Basi, angalia picha hii hapa ndio utajua hilo !!!
Rais pekee katika historia ya Tanzania aliyeuza kipande cha nchi (Kigamboni) kwa wawekezaji, na kusababisha wananchi wazawa wa Kigamboni kuishi kwa hofu ya kutimuliwa kwenye ardhi ya nchi yao wenyewe !!!
Rais wa kwanza Duniani aliyediriki kuwaibia wafanyakazi viinua mgongo!! NSSF.Rais aliyejenga chuo kikuu kikubwa Afrika Mashariki na ya Kati, Hii ni college of education pekee, chuo kizima hakiingii kwenye picha moja:
Rais wa kwanza Duniani aliyediriki kuwaibia wafanyakazi viinua mgongo!! NSSF.
Rais wa kwanza Duniani aliyediriki kuwaibia wafanyakazi viinua mgongo!! NSSF.
zomba zomba who pays you to defend CCM and suppress other oppoistion parties
you always defend JK hata kwa baya na CCM yake
you always critisize Chadema hata kama wamekuja na wazo zuri
kwako wewe CCM ni wema siku zote na wapinzani ni wabaya siku zote
katika ilani ya CCM tuliahidiwa mengi lakini 70% hazijatekelezwa
sitazungumziwa tena katika chaguzi zijazo na vizazi vijavo.
kwa chuo cha UDOM naunga mkono ni mazuri ya serikali kwa
kutumia fedha zetu walipa kodi bila kujali mwanaCCM au mpinzani
kwani wote ni wanachama wa mifuko ya hifadhi za jamii
cha kujiuliza je elimu inayotolewa inakidhi viwango katika soko la ajira?
je majengo hao unayodai hayaenei kwenye picha kana kwamba unaowaambia hatujasoma yana ubora?
je ni kweli JK hana mapungufu? sio dhaifu katika maamuzi? yako mengi ya kumsifu na mengi saaana ya kumkosoa.
kwa ufupi ameshindwa kutimiza ahadi yake ya maisha bora kwa mtanzania
pole kwa mawazo yako ya funika kombe mwanaharamu apite vijana wameamka sasa.
Ni rais aliyejenga shule za sekondari nyingi hadi katika miji ya Waisilamu kuliko maraisi wote waliyomtangulia.