- Rais aliyeanguka jukwaani mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais aliyevamiwa na watu akiwa jukwaani mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais aliyekaribisha wanamuziki wa kizazi kipya ikulu mara nyingi kuliko marais wote duniani.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake ikulu imekuwa mahali rais kuingia ikilinganishwa na marais wengine wote duniani.
- Rais aliyeweka rekodi ya kutembelea maeneo ya starehe akiwa kwenye "state visit" nje ya nchi kama vile kutembelea clubs za mpira wa kikapu Marekani, Real Madrid Hispania, kubembea Jamaika, n.k.
- Rais anayeoongoza kwa KUOMBA kupiga picha na wanamichezo na wasanii maarufu duniani.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake chuki za kidini zimeibuka na kutawala akili za wananchi.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake maandamano ya wananchi kupitia makundi mbalimbali ya kijamii imekuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida.
- Rais ambaye kwa mara ya kwanza TUCTA ilikataa kumualika kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi.
- Rais ambaye amefanya ziara hapa nchini za mikoani, wilayani na vijijini mara chache kuliko marais wote waliomtangulia.
- Rais ambaye chini ya uongozi wake wimbo wa taifa ulishindikana kuimbwa katika matukio mawili tofauti na muhimu ya kitaifa kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam.
- Rais amb........ (ngoja ninywe maji kwanza nitarudi niendelee na orodha ndefu)