Nitakachofanya kwa binti zangu

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Habari zenu jamani, leo sina gazeti kubwa Sana, labda kwenye comments mikiamua nyie kuandika magazeti.

Hiki ni kitu ambacho hata Dada zangu na shangazi zangu nilitamani niwafanyie ila ndio vile walinipita umri, hivyo sikupata wasaa wa kukaa nao na kulizungumzia hili .

Kifupi kutokana na life lilivyo Sasa wanangu wote wakike kwa wakiume lazima niwalee kwa mtindo wa kuja kutawala hasa katika game ya mapenzi , yaani waje wayatawale mapenzi, yakiwepo sawa yasipo kuwepo sawa ila kikubwa ni kuongeza juhudi ya kujipambania maisha yao na sio kupambania mapenzi.

Kwa wanawake waje waishi maisha ya kuoa japo watatolewa mahali Kama Kuna mbuzi ataleta hizo mahali.

Kifupi nawaandaa waje wajue kucheza na hisia zao pamoja na watu wengine

Kifupi siwaandai kuja kulialia na mapenzi Wala kuwa watumwa kwa majina ya ndoa nk.

Wawe wepesi kuvunja mapenzi yasio na tija ....yaani huo muda wa kulialia na mapenzi ni Bora waende kuutumia Serengeti park kushangaana na wanyamawakina fisi na Simba.

All I need is powerful Generation.......kizazi jeuri kwenye mapenzi .

Nyie mnao lea watoto wenu kimayai yai tukija kua wakwe huko mbele msije kuniletea mashtaka ....mseme siku sema au malalamiko juu ya wanangu nimemaliza.
 
Mapenzi ni emotional state! Kubadilisha mtu au kumfunza inatakiwa umlee kikatili ili kuiondoa
 
Ila Usisahau kuwa Moyo umeumbwa kwa nyama.

Na utashangaa wao ndio watakuwa mandezi kwenye mapenzi.(natania).

Anyway, wewe wapeleke shule nzuri, wapate elimu na wawe na akili.

Hizo za mapenz zitajiseti tu.
 
Ila Usisahau kuwa Moyo umeumbwa kwa nyama.

Na utashangaa wao ndio watakuwa mandezi kwenye mapenzi.(natania).

Anyway, wewe wapeleke shule nzuri, wapate elimu na wawe na akili.

Hizo za mapenz zitajiseti tu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Unawapa demo moja ya hatari then unawaambia hiki kilicho fanyika mkileta mzaha ndio kitakacho watokea in real life
 
Back
Top Bottom