Nitakachofanya hataamini.

Kwao kuna trend ya single mother, sababu kuu sijaifahamu.
Pata lengo lao na uwezo wa kumghalamia dogo then fanya maamuzi vinginevyo anaweza kwenda ustawi wa jamii kulalamika na akasaidiwa.
 
Ebu kachukue vipimo vya DNA kwanza uenda unamlelea mwanaume mwenzio
 
DNA Mkuu huwa nakosa nguvu ya kuifanya, maana nilishajitosa mzigoni.
Huwez kutatua tatizo kwa kujindanganya kuwa halipo. Fanya maamuz. Ukwel unauma kwa muda ila utaitibu nafsi kwa kuifanya kuwa huru milele kuliko kutokuwa na amani ya milele ukihofia maumiv ya muda mfupi
 
Hivi unajua kua hela hailei? Na unajua maana ya kulea kuna utofauti Kati yakutoa hela na kulea watu wengi hudhani kulea ni kutoa fedha kama wewe ulivyoonyesha Hapo juu
 
Ndio maana kwenye maandiko ya dini yanatulazimisha ndoa kwanza mtoto baadae.
 
Pata lengo lao na uwezo wa kumghalamia dogo then fanya maamuzi vinginevyo anaweza kwenda ustawi wa jamii kulalamika na akasaidiwa.
Uwezo wao Wa kugharamia Dogo ni mdogo sana maana hakuna walichoweza kugharamia mpaka sasa ndio sababu kuu ya kumleta huku pia.
 
Reactions: 30P
Fuata sheria mtoto apate haki zake muhimu, weka tofauti zenu pembeni.
Ndio ila kumbuka sheria itampa mtoto mama yake mpaka hapo miaka7 kama bado mama ana uwezo wa kumlea
 
Hivi unajua kua hela hailei? Na unajua maana ya kulea kuna utofauti Kati yakutoa hela na kulea watu wengi hudhani kulea ni kutoa fedha kama wewe ulivyoonyesha Hapo juu
Hata kulea hajalea mkuu nmemchukua ana mwez mmoja!
 
Uwezo wao Wa kugharamia Dogo ni mdogo sana maana hakuna walichoweza kugharamia mpaka sasa ndio sababu kuu ya kumleta huku pia.
Hapo sawa mkuu, sasa katoe taarifa rasmi polisi ili hatakama likitokea lakutokea kwa dogo uwe na msingi tayari.
 
Huwez kutatua tatizo kwa kujindanganya kuwa halipo. Fanya maamuz. Ukwel unauma kwa muda ila utaitibu nafsi kwa kuifanya kuwa huru milele kuliko kutokuwa na amani ya milele ukihofia maumiv ya muda mfupi
Umenena Kanali. Yalinikuta zaidi ya hayo ila nilipo kubali nina amani sana na maisha bora naya enjoy.
 
Wenye nia ya kufanya kitu mbaya huwa hawatangulizi maneno arifuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…