Chadema sio slaa tu,naona ww unamhanya slaa tu wapo vichwa kibao,safari hii hata mkichakachua formula itagoma maana kura zitakuwa nyingi za wapinza na tukikamata mtu na masanduku tunamaliza mchezo wenyewe badala ya polisi.
Sisi tumesha anza mbela kutoka hiki chama chenu cha ukaskazini na mabavu tuisubiri hio 2015 muone mtakavyo aibika.CDM haiwezi kwenda kokote kwani kimeshalewa sifa!
Hakupaswa kutamka maneno hayo hata kama alikua anawaadress wana CCM wenzake. Neno lolote linalotoka kinyani mwa Rais wa nchi linabeba uzito wa aina yake. Awaache akina Kinana na Nape watamke hayo!
Hivi bwana swai una ndoto za chadema kushinda urais?? Kuwa mkweli huwezi kutegemea ukoo mmoja usambae nchi nzima na kupewa nchi. Kighoma wameshasema hawachezi tena midundiko ya wapinzani wanataka uongozi si kupewa viroba orijino kurushia watu mawe
mtu yoyote ambaye anatetea hii serikali ya ccm lazima atakuwa ni miongoni ya watu wanao faidika na dhuluma tunaofanyiwa na hii serikali,,,,,,,,lazima atakuwa fisadi au anasaidiana na mafisadi
Haya ni matamshi ya kichochezi. Jk yuko serious na statement yake uki-refer na zile za Mwingulu. Kwake ataona niaibu kuachia nchi wapinzani hivyo atafanyaawezavyo kufuta aibu hiyo. Hali hii ilimtokea pia 2010 baada ya kuona atakuwa Rais wa Tanzania kuogozs kipindi kimoja-tuliona intervention ya Shimbo/wanajeshi ktk siasa za Tanzania kwa mara ya kwanza.
Hii haitazuirika mwaka 2015 isipokuwa kwa neema ya Mungu tu.
Hakupaswa kutamka maneno hayo hata kama alikua anawaadress wana CCM wenzake. Neno lolote linalotoka kinyani mwa Rais wa nchi linabeba uzito wa aina yake. Awaache akina Kinana na Nape watamke hayo!