Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Hivi Chadema mnawaza kushika hii nchi.Kweli maajabu yapo Chadema ganja sio kitu kizuri kabisa tena Kama chakula huli vizuri
Hapo zamani za kale mnamo mwaka 1995 niliamini kua huyu mtanzania ana uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko nchini.
Nililaani sana kitendo cha mwalimu kuliengua jina lake katika kinyang'anyiro cha kuelekea kushika hatamu.
Ni takribani miaka 18 imepita ndipo nimeanza kujua maana ya mwalimu kwa ule mwaka 1995.
Sasa nimeamini hapa duniani tuna chui waliojivika ngozi ya kondoo, pia, majuto ni mjukuu.
amesahau kwamba yeye anapanga Mungu anapanguaKauli hii imetolewa na JK mjini Kigoma wakati wa sherehe za miaka 36 ya CCM....
"Nitahakikisha nina kabidhi nchi kwa mgombea wa CCM na si vinginevyo"!
KAMA RAIS WA NCHI, SALAAM HIZI MAANA YAKE NINI?!!
Hapo amesema kweli kabisa, upinzani bado sana Tanzania. CCM itatawala milele.
Tunaposema Rais ajaye ni Dk SLAA tuna maana kwamba CCM itaondoka mwaka 2015. Hii haina tofauti na kauli ya Mwenyekiti wa CCM aliyosema Kigoma.
Hata kwa kutumia ​UWT aka Wachakachuaji, safari hii huwezi.