MimiKijana
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 265
- 243
Salute kwenu wakubwa!
Nahitaji kufahamishwa namna ya kutambua vyeti feki hasahasa vyeti vya O level na A level.
Waungwana niko serious na nategemea msaada kwenu maana napata changamoto kutofautisha fake and original kutoka kwa applicants..
Nawasilisha na kwa hamu nasubiria majibu.