Ni viashiria gani vya smartphone kuwa kuna watu wanatrack?
Niligoogle nikapata majibu haya
wawa1.Simu kuwa ya moto sana
2.Kuisha kwa betri,salio na bundle mara kwa mara bila mpangilio.
3.Kuwa na mwangwi au sauti zisizoelezeka "chkskorokxhjk"
4.Kama kampuni au mwajiri wako aliwahi kukuomba simu mara moja anza kurudisha kumbukumbu alitaka nini.
5.Kama huwa unaacha simu halafu unatoka ukarudi imehamishwa au kusogezwa.
Ingawa unaweza ukawa paranoid kuhisihisi ila hivi niviashiria.Add yours au wajuzi mtuambie maana JF tunabwatuka makubwa mno labda wasiojulikana wanatutrack.
Na nani?Simu yoyote ile inapokuwa "on" na ikiwa kuna mtandao (network) automatically inakuwa tracked and/or traced.
Hapo no. 1-3 basi wenye tekno wote watakua wanadukiliwa.
Na nani?
By the authorities. E.g:-
- Network administrators
- Contents providers
- Network service providers
- Cyber/ telecommunications regulators,
- Law enforcement agencies,
- Security Intelligence agencies, military, etc.
NB:
Smart phones ndizo ambazo ziko vulnerable zaidi kupita kiasi ktk masuala ya tracking and tracing ukilinganisha na simu za kawaida ambazo siyo smart phones
Sasa utajuaje kama wanakufatilia?Mi jukwaa langu la MMU tu siasa huwa sio saana.
Inategemeana ni udukuzi wa namna gani mkuu. Kuna udukuzi mwingine kwa namna yeyote wewe huwezi kufahamu kama taarifa zako zinadukuliwa.Sasa utajuaje kama wanakufatilia?Mi jukwaa langu la MMU tu siasa huwa sio saana.
Inategemeana ni udukuzi wa namna gani mkuu. Kuna udukuzi mwingine kwa namna yeyote wewe huwezi kufahamu kama taarifa zako zinadukuliwa.
Kwa njia ulizozitaja, ni kuangalia udukuzi wa mtu kuweka tracking app kwenye simu yako. Hiyo ndizo dalili zake. Simu kuchemka, simu kuwa nzito, simu kupoteza mtandao mara nyingine, sms kuchelewa kufika au kutofika kabisa baada ya kutuma na vinginevyo.
Kuna njia za kuangalia kama kuna app yeyote imewekwa kwenye simu yako kutegemeana na aina ya app yenyewe.
Lakini utumiaji wa vifaa vyote vya umeme hasa simu janja, smart tvs, computers na laptops zinatoa nafasi kubwa zaidi ya kudukuliwa.