Nitajieni vyuo vya kusomea u-nurse

Nitajieni vyuo vya kusomea u-nurse

Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam

haaa..! Huyo hawez chukua diploma wala certificate coz sasa iv ili uchukue diploma ni lazima uwe na ufaulu wa kuanzia D, kwenye physics, Biology, Chemistry... Bila ivyo kujiunga na diploma ni ngumu labda kwa njia ya panya ktkt vyuo vya private, ila kuna pia kama umekosa physics waweza chukua certificate ili mladi uwe na qualification nzuri ktkk masomo hayo mawili yaan Chemistry na Biology.....
 
hapana kaka ili asome diploma inabid awe na c ya biology na chemistry na physics na mathematics awe amepata pass
 
haaa..! Huyo hawez chukua diploma wala certificate coz sasa iv ili uchukue diploma ni lazima uwe na ufaulu wa kuanzia D, kwenye physics, Biology, Chemistry... Bila ivyo kujiunga na diploma ni ngumu labda kwa njia ya panya ktkt vyuo vya private, ila kuna pia kama umekosa physics waweza chukua certificate ili mladi uwe na qualification nzuri ktkk masomo hayo mawili yaan Chemistry na Biology.....

Kuna dogo namfahamu alikataliwa kusoma certificate in nursing kwenye chuo cha private. Alikuwa na C za biology na chemistry na d ya maths. Kosa la kuacha physics ndilo lililomgharimu. Mpaka sasa anasoma certificate ya procurement TIA.
 
Nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya Dar es salaam

Jaribu ku apply through Wizara ya afya,then wao watampangia chuo
 
nisikufiche kwa hizo passes zake hawezi pata chuo cha unesi popote tz sector hii siku hizi ni ngumu sana mimi nilikuwa na ndugu yangu alikuna na C-2, D-4 NA F-1 lakini hakupata sasa sijui huyo ndugu yako.
 
Hata private huwezi kupata chuo kama hukufaulu physics, chemistry na biology
 
vipi kama ana chemistry B physics C biology D na math F anaweza kupata..?
 
nina mtoto wa kaka yangu amemaliza form four anataka asomee awe nurse wa hospitali. Naomben mnitajie list ya vyuo na mahala vilipo ndani au nje ya dar es salaam

unafikiri fani ya uuguzi ni kama mafunzo ya kupiga chapa eeh?!
 
Back
Top Bottom