Nitajie sehemu moja Tanzania ambapo umeme huwa haukatiki au ukikatika ni mara chache tu

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Hebu tuambizane wakuu

Nitajie sehemu moja tz ambapo umeme huwa haukatiki au ukikatika ni mara chache tu?

Binafsi sijawah kushuhudia sehemu kama hiyo ambapo umeme huwa haukatikagi kabisa au unakatika kwa nadra tena ukikatika unakaa dk 5 tu unarudi

Ni sehemu gani ambapo huwa hakuna tatzo la umeme?
 
Unakaa wapi? Mtaani kwetu na eneo letu kwa ujumla bila kupepesa macho siku hizi umeme haukatiki. Ukikatika kuna tatizo.
 
Hebu tuambizane wakuu

Nitajie sehemu moja tz ambapo umeme huwa haukatiki au ukikatika ni mara chache tu?

Binafsi sijawah kushuhudia sehemu kama hiyo ambapo umeme huwa haukatikagi kabisa au unakatika kwa nadra tena ukikatika unakaa dk 5 tu unarudi

Ni sehemu gani ambapo huwa hakuna tatzo la umeme?
Nimezunguka mikoa karibu yote ( isipokuwa minne hivi), katika yote niliyopita ni Singida mjini pekee ndiyo ina umeme stable sana. Inaweza maliza mwezi bila kukatika na ukikata hauchukui muda mrefu kurejea.
 
Wana bahati sana

Nadhani ni Bukoba.

Maana kule hawatumii Grid ya MaCCM ( Taifa ).

Mkoa wa Kagera wanatumia umeme kutoka Uganda, uko vizuri kiasi.
 
Back
Top Bottom