Hakuna chenga, Quality ni ile ile. Nowdays wameboresha signals kama zote. Tofauti na DSTV wakikata wanakuachia channel zenye quality ya simu ya tecno makusudi.
Sishauri mtu anunue DSTV kwa kigezo cha kupata local channels.
Maduka yote yanayouza vingamuzi hivyo wana hizo antena. Nunua antenna zenye shepu hiyo. Zinadaka signal za HD vizuri bila scratches. Na ving'amuzi vya antenna vimeboreshwa upande wa signal nowdays havisumbui kama zamani