kuuliza si ujinga, nini maana ya kitu/chombo kuwa ni original
Tecno inatengenezwa China lakini cha kushangaza kabisa haiuzwi China, ni Nigeria, Ghana , Kenya na Tanzania, haujajiuliza ni kwanini?
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Huyo Yahya kweli,hajui hata anasema nini,alafu mtu kama huyu unamkuta ana smartphone nzuri na bundle la internet la kutosha ila vitu vidogo kama hivi vya kugoogle hawezi kufanya
ishu si kuwa na smatphone au kugoogle, lamsingi ni kuelewa kwani hata apa kwetu huwa tunasema kuna vitu original ambavyo vinavotengenezwa hpa hapa nchiniNimesoma maswali na majibu yenu kwa kina, na imenichukua muda kidogo kufikiri majibu yangu. Ninaendelea kufikiri kidogo ile nije na hoja na mapendekezo ambayo kutokana na mang'amuzi yangu nadhani yatasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza maambukizo ya VVU. Kwa wale mnaokumbuka nilikuwa na mapendekezo matano kwa serikali ya Kikwete, nimeshatoa mawili (Makazi) na lile la Polisi. Pendekezo jingine ni hili la UKIMWI. Nitabandika hoja zangu mwishoni mwa wiki baada ya kuzifikiri kwa kina.
Huyo Yahya kweli,hajui hata anasema nini,alafu mtu kama huyu unamkuta ana smartphone nzuri na bundle la internet la kutosha ila vitu vidogo kama hivi vya kugoogle hawezi kufanya
Ubarikiwe bro
ndio mm cjui lkn tecno haina kiwango hicho unachokitea ww
Nimeuliza sana hili jambo lakini kila nilipokwenda niliambiwa niangalie bei.Ukiona bei iko chini sana basi ujue ni fake.Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa sio feki(yakichina), nataka kujua ni vipi ntajua kama kweli simu yangu si feki
Labda umekosea ku search au hauja search neno halisi
Google search results for Tecno p5
nimegoogle na kutembelea tovuti ya tecno www.tecno-mobile.com nlichokiona kimezidi kunishangaza kwa sababu hakuna ata catagory ya tecno p5 hata nliposearch only nlipata p3 na phantom Z result ya p5 inasema "" result not found" inaonesha kma nishapigwa changa la macho. bado naomba msaada zaid ili nisirejee makosa
hiyo sio kipimo. unakumbuka majani ya chai bora kabisa yanayotengezwa Tanzania . hayaruhusiwi kuuzwa ndani ya nchi ya Tanzania. wanaita export quality yaani ni kiwango ....... mtanzania hakihitajiii..
hata kenya wanavyo vitu na sera kama hizo. high quality huuzwa nje ya nchi tu :angry::angry:
Hiyo sera kwa nchi ya China iko tofauti kidogo jaribu kuchunguza wachina wanaokuja nchini wanatumia simu za aina gani kama haujakuta wengi wao wanatumia simu za Iphone kwa nn sasa? Nadhani jibu unalo