Msaada jamani maana kila chaji ninayo nunua haimalizi mwezi inakufa!! Wakunijuza tafadhali nawapi zinapatikana
maranyingi charger original za iPhone huwa zinakuja in two pieces yaani (usb cable na wall adapter). original usb cable huwa ni mlaini ukilinganisha na fake usb. Ndani ya kichwa cha usb original, ukiangalia kupitia vishimo viwili utaona connectors zina rangi ya gold wakati kwenye feki kuna connectors za rangi ya silver. pia juu ya kichwa cha usb original kuna symbol iliyo na light grey color wakati kwenye feki ina dark grey color. lakini kikubwa zaidi cha kuzingatia ni ile wall charger kwasababu feki huwa hazipitishi moto unaotakiwa na unaweza kuua nguvu ya battery ndani ya muda mfupi. Original zinakuwa na power output ya 0.15A wakati feki zinakuwa na 0.1A kwenye label yake kwa chini. hicho ni kitu muhimu sana cha kuzingatia. Kanunue wall adapter yenye 0.15A na usb cable nzuri tatizo lako litakwisha..Msaada jamani maana kila chaji ninayo nunua haimalizi mwezi inakufa!! Wakunijuza tafadhali nawapi zinapatikana
Nenda mcity wana store yao, ukishindwa agiza online ambako zipo cheap.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Andaa si chini ya elfu 50
update simu yako kwenda ios 7 watakupa warning kila ukichomeka charger feki
nimejifunza kitu leo credit kwako mkuu iwe mwendelezo wa kujulishana na kufahamishana jinsi ya kutambua electronic devices original na fake.maranyingi charger original za iPhone huwa zinakuja in two pieces yaani (usb cable na wall adapter). original usb cable huwa ni mlaini ukilinganisha na fake usb. Ndani ya kichwa cha usb original, ukiangalia kupitia vishimo viwili utaona connectors zina rangi ya gold wakati kwenye feki kuna connectors za rangi ya silver. pia juu ya kichwa cha usb original kuna symbol iliyo na light grey color wakati kwenye feki ina dark grey color. lakini kikubwa zaidi cha kuzingatia ni ile wall charger kwasababu feki huwa hazipitishi moto unaotakiwa na unaweza kuua nguvu ya battery ndani ya muda mfupi. Original zinakuwa na power output ya 0.15A wakati feki zinakuwa na 0.1A kwenye label yake kwa chini. hicho ni kitu muhimu sana cha kuzingatia. Kanunue wall adapter yenye 0.15A na usb cable nzuri tatizo lako litakwisha..
'O' - Original
'C' - Copy(fake)
Hii sina uhakika nayo sana CHIEF MKWAWA. Mi sijakutana na hiyo warning bado nah ii 4s yangu nnayotumia.
![]()
Mimi yalinikuta kaka
kwa situation ya mdau hapo juu naona kwenda ios 7 haitamsaidia kwasababu hata ios 6, 5, 4 ,3 etc zinaweza kudetect accessory ambayo sio compatible na simu. na pia sio iphone zote zinaweza kwenda ios 7. cha msingi hapo ni kuzitambua hizo original chargersupdate simu yako kwenda ios 7 watakupa warning kila ukichomeka charger feki
![]()
Mimi yalinikuta kaka
Mimi ndani ya mwezi nanunua chaja mbili. Zinakufa sanaa