Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,094
- 93,061
Hakupendi huyo.,, uongo unaua au unaweka mtu ktk hatare, hivo anayekudanganya anakuua au anakuweka ktk hatare na kurahisha mambo maana yake Hakupendi.
Wanawake wote wapo hivyo jaribu kujifunza kuishi nayeHabarini wakuu,
Huyu mwanamke ninayeishi nae ni muongo wa kupindukia, nimejaribu kumfatilia sana nyendo zake nimegundua mambo mengi amekuwa akinidanganya sana hasa kwenye suala la pesa, amekuwa nimekuwa ni mtu wa kutunga mambo sana ili anidanganye.
Nifanyeje wakuu niweze kuishi na huyu mwanamke
Ila kama siyo MchaggaThere is only solution for mtu mwongo, katika uchunguzi wako .. pata ushahidi red handed...then ukisha jua baadhi ya shahidi. Mkalishe chini muonyeshe. Akipinga badala ya kuomba msamaha... mteme dump her.
Mwanamke ambae hakubali makosa , na kuomba msamaha. Kuna vingi amekuficha.
Kama atakuomba msamaha na kukuri. Mpe muda, lakini usimuamini, endelea kumchunguza.mwekee mitego ya kifedha...
Asipo jirekebisha dump her..
Hata kama ni mchagga. Ukiwa smart haijalishi. Hizi mbinu lazima kila mwanaume awe nazo.. always kabla muwahi adui yako kabla hajapiga hatua. Ww tayar umeshapiga hatua.Ila kama siyo Mchagga
Sawa sawa mkuuu ,unaniwakilisha vemaUkiona Muongo ujue kuna mawili. Iwe ni hulka yake au ameanza tabia juzi juzi.
Kitu cha kwanza, Muongo huwa anajisahau.. usionyeshe kumshtukia. Weka mitego ya kifedha, huku ukiwa unaangalia. Then taratib utapata ushahidi, then muite muoneshe the truth.
Akiwa mkali na kukana. Mwambie u are not playing. Either ajirekebishe or it over.
Akikubali na kuomba masamaha.. mkubalie but kuwa makini.
HahahKuwa muongo zaidi yake...
Akitunga uongo wa kuomba pesa ya kitu flani na wewe tunga uongo pesa imetumika kwenye kitu flan
Problem solved.
Kasema ni mke sasa i cant imagine kama ndoa yao ya kikristo kuachana hua s ni process ndefu??There is only solution for mtu mwongo, katika uchunguzi wako .. pata ushahidi red handed...then ukisha jua baadhi ya shahidi. Mkalishe chini muonyeshe. Akipinga badala ya kuomba msamaha... mteme dump her.
Mwanamke ambae hakubali makosa , na kuomba msamaha. Kuna vingi amekuficha.
Kama atakuomba msamaha na kukuri. Mpe muda, lakini usimuamini, endelea kumchunguza.mwekee mitego ya kifedha...
Asipo jirekebisha dump her..
Habarini wakuu,