aendana na ile picha aliyoweka,atakuwa ndo huyu,kuna shida naiona kupitia haiba yake,jamani anahitaji msaada huyu.serious.Sept 28, 2014
Huyu ni wewe?
View attachment 490844
Deogratius Kisandu akiwasalimia wananchi wa Lwandai kata ya Mlola wilani Lushoto baada ya kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Deogratius alishawahi kuwa na nyanzifa zifuatazo kwenye chama cha NCCR Mageuzi,Katibu Mwenezi Taifa kitengo cha Vijana (2013) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya NCCR-Mageuzi (2014
Michuzblog
nahc tatzo la ajiralitakuwa limekuathiri pia.FOR A TIME BEING I DO NOT WANT TO BE APPOINTED AS 2nd Vice President, I HAVE Said I WANT TO BE A President of Tanzania 2020.
My desire to Create New Government which have never seen before, to make Tanzania to be the Leading Nation on Potential Ideas to build strong government.
I got gossip somewhere that there is a plan to be appointed as second Vice President of Tanzania, Since October 2012 I declared my desire to be A President of Tanzania through Mass media and Social Network media. I can not change my God plan by pleasing me to highest position. No No No, my Dream must Occur.
But I say thanks for consideration and God have a bless over those who think so. I, Deogratius Kisandu am a Tanzanian and a Political Analysis apart of being a Teacher at Mkolani secondary school in Mwanza region.
I Feel Shame if Not shy to try to please me after they have blocked my Economic and Detented me Psychologically.
God give me long live and bless Tanzania.
Deogratius N Kisandu
From Tanzania, East Africa.View attachment 490766
Huyu ni verified user. Hata aandike pumba namna gani ni sawa kwa sababu anajulikana na mamlaka zikitaka kumshughulikia zinakwenda tu Mkolani Secondary na kumdaka. Si ajabu hata mkuu wake wa shule huwa anapeleka ripoti kuhusu afya yake ya kisaikolojia. Hata hivyo mimi nadhani pengine Kisandu ni usalama wa taifa anaweka hizi post zake za kiwendawazimu ili kupima upepo ulivyo.Moderator ningeomba mum block huyu mtu asiwe anapost humu JF. Ni mgonjwa anahitaji msaada wa kisaikolojoa. (I bet that)
Najua unatania lakini ushindwe na ulegee na maukabila yako! Elimu ya Tanzania unaijua wewe tena kwa mtu aliyehangaika special educatio na madarasa ya jioni? Hata kuweza kuandika hiki Kiingereza mi nampa hongera kwa kweli!English ikigusana na wasukuma hata kwa sauti tu huwa haiandikiki wala kutamkika .
Kabla ya vi-wonder kuna kazi kubwa ya kutenganisha kwanza wasukuma na English then tutaendelea na Vi-wonder j
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]not to that extend kha?
Ila Harmorapa ameshakuwa maarufu na bado anazidi kuongeza umaarufu.Sijui kwanini ila kiukweli sijaona tofauti kati ya HAMORAPA na KISANDU wote wako kwenye promotion