Nitafute tukafanye yetu club badae

Nitafute tukafanye yetu club badae

Kadiri siku zinavyokwenda Wanaume wanapungua sana wanabaki aina fulani ya viumbe vya kiume ila uanaume haupo. Ukienda kule utachagua hapa atakuja mmoja na huwez kuchagua kitu kimoja kule wapo wengi unamchagua aliyebora kwako na anayekuvutia zaidi. I wish I could turn back the tym.
 
sawa mkuu nimekusoma ushauri wako mzuri sana,acha niwe mwanaume Wa u kweli kama ulivosema ili tusipotee wanaume Wa ukweli
 
Note; ni kucheza bakulutu tuu na si mengine, bill we can share au kila mtu na bill yake. Baada ya bakulutu kila mtu anaenda kwake.
Ufanye mazoezi ya kutosha ya kucheza bakulutu hakuna kupumzika ni kucheza kuanzia mziki wa kwanza hadi wanafunga vyombo.
That's Kasie.

kwahyo yeye ni kucheza tu, ila wanaomega mzigo ukirudi nyumbani ni wengine...aki the world is not fair!
 
Starehe ni moja tuu, kucheza bin kudance to the music. Kula akale alikopeleka mboga.
 
Note; ni kucheza bakulutu tuu na si mengine, bill we can share au kila mtu na bill yake. Baada ya bakulutu kila mtu anaenda kwake.
Ufanye mazoezi ya kutosha ya kucheza bakulutu hakuna kupumzika ni kucheza kuanzia mziki wa kwanza hadi wanafunga vyombo.
That's Kasie.

Dada Kasinde, unadhani mambo ni rahisi kama hesabu? Unaweza kweli panga hivyo, kuwa nitakutana na mtu tutacheza muziki tu na kunywa pamoja baada ya hapo kila mtu kivyake ukaja kushangaa hakuna aliyefanikiwa kwenda kwake si wewe wala yey pamoja na nia zenu nzuri na upendo wenu kwa mtume na nabiii isa. Kuna neno linaitwa MVUTO, sijui unaliamini?
 
Hahahahaa MVUTO ni noumaa ila Kasie a nakuwaga mbishii. Nilovutiwaga na Nissan guy daah ila nilijikausha kama sijamuona huku nameza mafunda ya mate kama nna kiu hehehehee
Nilishakutana na jamaa mmoja kwenye harusi nilijua kuwa ameoa coz alikuwa na pete kidoleni. Huyu kila mmoja wetu alivutiwa na mwenzake tulikuwa meza moja na yeye kwenye hiyo harusi hakuna na mkewe alikuwa alone. Tulijikuta tunonga cheers tunacheza pamoja na kuondoka tuliondoka pamoja ila kila mtu na gari yake tunaenda club hadi saa saba usiku kisha kila mtu akaona tabu kuendesha hadi nyumbani kulala. Tuliamua kubana matumizi kwa kushare gharama za chumba kimoja na alfajiri kila mtu akirudi kwake kumalizia uchovu na usingizi.
MVUTO ni balaa unanguvu zaidi ya sumaku hapa nakubali.
 
Makofi kwako mara 100000000000. Thanks kwa kufunguka
 
Back
Top Bottom