Nitafute tukafanye yetu club badae

Nitafute tukafanye yetu club badae

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,157
Reaction score
6,299
binti mrembo ambae yupo dar tutoke wote badae club escape one kumwona mzee Wa amarula roberto tiketi nalipa,nitafute kam umo humu ndani
 
wew tupia namb yako bas,au nipm tubonge
 
binti mrembo ambae yupo dar tutoke wote badae club escape one kumwona mzee Wa amarula roberto tiketi nalipa,nitafute kam umo humu ndani

kweli nimezeeka haya matukio yanapita wala sina habari...nilikuwa nasikia ekotitee kila mahali mara nasikia koffi olomide ndio kaja kuimba hio nyimbo wakati kashaondoka!
 
kweli nimezeeka haya matukio yanapita wala sina habari...nilikuwa nasikia ekotitee kila mahali mara nasikia koffi olomide ndio kaja kuimba hio nyimbo wakati kashaondoka!

Ndiyo hivyo, uzee unapiga hodi.
Kuna rafiki yangu anasema siku hizi muziki wa Club una makelele!
 
hahah kwel aise kam huelew linaloendelea,amna sio kwel kwamba nzik Wa club unamakelel.
 
jaman twende mrembo mda unakaribia muwapi nyie au hamuendi?
 
safi sana mkuu apo umenena vema sana wacha nifate ushauri wako.nitangulie nitawapata huko huko nashukur
 
Ingekuwa bakulutu ningekupa kampani ila hizo yoyo hapo vipi hapa imekaaje siziwezi.
 
mh unisaidie mwenyew kujib mkuu,kama nimekosea
 
sawa mkuu zikitokea izo zako unazopenda nitaomba kampani yako basi

Note; ni kucheza bakulutu tuu na si mengine, bill we can share au kila mtu na bill yake. Baada ya bakulutu kila mtu anaenda kwake.
Ufanye mazoezi ya kutosha ya kucheza bakulutu hakuna kupumzika ni kucheza kuanzia mziki wa kwanza hadi wanafunga vyombo.
That's Kasie.
 
xio kesi Poa,mi Niko vzuri mkuu ungekuwa karbu ningekuonesha kidogo kama shughuli naiweza Siku ukija kunipa kampani
 
Back
Top Bottom