Sahar
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 184
- 83
Habari wana Jamvi!, ni jambo lisilofichika kwamba suala la kumpata mwenza mwenye mahitaji yanayo fanana au yanayokaribiana kuwa sawa ni jambo gumu..... Hivyo kwa kuzingatia hilo najitokeza kwenu kutangaza uhitaji wangu wa kuwa na binti ambaye atapewa nafasi ya kuwa rafiki yangu, na hata tukiona inafaa basi hatua zaidi zitachukuliwa....