Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

Kwenye heading umeandika Taiga stars halafu humo ndani umeiongelea Kilimanjaro stars

Au hakuna tofauti mkuu??(nadhani utanielewa sasa)
Zingatia: Taifa Stars=Kilimanjaro Stars +Zbar Heroes
Taiga=Taifa ni kweli mkuu, nashukuru kwa hilo, nimekuelewa.
 
kwahiyo walisafiri kwa basi kutoka zanzibar hadi kenya?
Hamna kitu mle zaidi ya kupambana magazetini tu. Zanzibar waliliona hilo wakawaacha wanaojiona masta kibao kama agrey moris, canvaro nk. Saivi mechi 2 point 6 na kandanda la kuvutia kwa vijana wasio hata na majini ukizingatia walisafiri kwa basi.
 
Hii team Sijui kwa nini haivunjwi ni bora tusiwe na team ya taifa kuliko Kua na litimu la kipuuzi Kama hili...... hawa wachezaji walitakiwa wapelekwe kule unakojengwa ukuta wa kuzuia madini yasiibiwe... Kocha abebe matofali 500 wachezaji kila mmoja tofali buku... Washenzi kabisa yan tumefungwa mpk na Zanzibar kweli!?!????
Kwani Zanzibar ndio mara ya kwanza kuifunga taifa stars. Kama unakumbuka kipindi cha maximo pia ilikiwa sawa na juzi tu. Mpira wetu sie upo kwenye magazeti tu. Nenda kaangalie wazenji wanavyoandaa watoto kuja kucheza mpira. Kuna ligi za watoto zinasimamiwa na ZFA kuanzia watoto wa miaka 12 wanacheza juvenile league, junior league na central league.
Hivi ndio viwanda vyao kila siku utaona vipaji vipya ndio mazao ayo ya kina agry, kanavaro, sabri china, baby wapo wengi tu. Huku sie kelele magazetini tu. Kwa kumalizia ndio maana wazenji wanadai nchi yao kwa sababu ya kuwanyanyasa na kuwadharau tu. Na iko siku hawa jamaa tutawatafuta ngoja wapate nchi yao utakuja kukumbuka haya maandishi.
 
Hivi bado kuna watu wana imani na hii timu??!! Hata kama nitaonekana si mzalendo poa tu kuliko kujiletea stress zisizo na sababu.
 
Kwani Zanzibar ndio mara ya kwanza kuifunga taifa stars. Kama unakumbuka kipindi cha maximo pia ilikiwa sawa na juzi tu. Mpira wetu sie upo kwenye magazeti tu. Nenda kaangalie wazenji wanavyoandaa watoto kuja kucheza mpira. Kuna ligi za watoto zinasimamiwa na ZFA kuanzia watoto wa miaka 12 wanacheza juvenile league, junior league na central league.
Hivi ndio viwanda vyao kila siku utaona vipaji vipya ndio mazao ayo ya kina agry, kanavaro, sabri china, baby wapo wengi tu. Huku sie kelele magazetini tu. Kwa kumalizia ndio maana wazenji wanadai nchi yao kwa sababu ya kuwanyanyasa na kuwadharau tu. Na iko siku hawa jamaa tutawatafuta ngoja wapate nchi yao utakuja kukumbuka haya maandishi.
Hilo la nchi halituhusu, sisi tunaongelea timu yetu kutuaibisha
 
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
Hawa walitakiwa waswekwe korokoroni angalau kwa mwezi mmoja wakitoka watakuwa wazalendo. Watu zaidi 50 mill wanawategemea wao wanaishia kukata viuno uwanjani
 
Nimesoma maoni Mengi na kilichokigundua kwa watu wengi Ni kwamba wana hasira. Mbona maswali haya watu hawayaulizi?
1. Je ilikuwa busara kubadili kocha kipindi hiki?
2. Je kocha Ninje amekuwa akiongea nini mbele ya wachezaji kuhusu kocha Mayanga?
3. Je kocha Ninje amekuwa akijieleza vipi mbele ya wachezaji? (Mfano ; mimi Ni kocha ya level ya juu sana)
4. Je wachezaji walioteuliwa awali na mayanga wanamkubali kocha Ninje?
5, Je kilichotokea huko Kenya Ni udhaifu wa kocha au wachezaji au wachezaji wamemsusia kocha kwa style Fulani? Ahsante
 
Huyo bwege hana cha kujitetea nikimkamata nakula ndogo,akitaka amani basi anipe cv yake hata kidogo tu,halafu mkuu unazidi kuamsha hasira zetu ujue.
 
Back
Top Bottom