Nitafikaje Kisiwa cha Saa Nane Mwanza

Nitafikaje Kisiwa cha Saa Nane Mwanza

Hapa nina mawazo hayohayo.Kesho ninataka kwenda huko.Sema sijajua utaratibu upoje ili niweze kuenjoi to ze fulest.

1.Sijajua muda mzuri wa kwenda huko ni asubuhi sana, wakati gani ofisi zao hapa mwanza mjini zinaanza kazi.

2.Je, hapo Tilapia ndo ofisi ya hifadhi ilipo au hapo ni mtu binafsi anasafirisha?

2.Sijui nikifika huko kisiwani kuna guides wa kuniongoza na bei zao sijui

3.Sijui naweza kutalii kwa muda gani huko,kutwa inatosha?

4.Kuna malazi huko?
 
Back
Top Bottom