....yeye kataka kwenda huko, nyie mnaona hapana maana kivipi, utalii haupo hivyo, kwani wanoenda picnic kwenye mapori ambayo hayana kitu huwa hawa enjoy?, huenda hata hao nyani na pimbi hajawahi kuwaona, nyie muacheni aende ni kuzuri tu, mstake kuleta kupajuajua sana, na huenda mnaishi mwanza na hamjawahi hata kufika. ndugu ww nenda kisiwa kipo hapo mwanza karibu kabisa na mjini, naul pamoja na kiingilio haizidi hata elfu mbili maana sijui kwa sasa, fika maeneo ya tilapia hoteli
Mkuu toka airport hadi kwenye hiyo kona ni kama km 2 tu,na barabara yake si vumbi tena,ni mkeka tu mpaka malaikaMalaika ipo Ilemela, kama km 5 hivi toka airport pinda kulia nenda na barabara ya vumbi.Ukerewe panda boti zipo maeneo ya kirumba TSH 7, hivi hadi Ukerewe mwendo wa saa 2 hivi majini. Ukifika tuwasiliane.Kisiwa cha saa 8 hakuna issue labda kama unataka kupoteza hela zako bure.....utabahatisha nyani, sungura na mbweha.
Wana ofisi zao karibu Na tilapia hotel ila Kama ujuavyo hakuna cha maaana kule.[/QU
Ofisi za Mwanza 0689062276/0767536124
....yeye kataka kwenda huko, nyie mnaona hapana maana kivipi, utalii haupo hivyo, kwani wanoenda picnic kwenye mapori ambayo hayana kitu huwa hawa enjoy?, huenda hata hao nyani na pimbi hajawahi kuwaona, nyie muacheni aende ni kuzuri tu, mstake kuleta kupajuajua sana, na huenda mnaishi mwanza na hamjawahi hata kufika. ndugu ww nenda kisiwa kipo hapo mwanza karibu kabisa na mjini, naul pamoja na kiingilio haizidi hata elfu mbili maana sijui kwa sasa, fika maeneo ya tilapia hoteli
Kweli Mkuu Assistant Tutor lengo la mwanzisha uzi anataka kufanya utalii maeneo ya kanda ya ziwa kwahiyo kufika kisiwa cha saa nane ambapo wapo pimbi,swala na tumbili pamoja na mazingira ya kisiwa hicho inatosha.
Nani ambaye hajafka Mwanza? Si bora akajianike kwenye jiwe la Bismark acheki ferry la Nyehunge!....yeye kataka kwenda huko, nyie mnaona hapana maana kivipi, utalii haupo hivyo, kwani wanoenda picnic kwenye mapori ambayo hayana kitu huwa hawa enjoy?, huenda hata hao nyani na pimbi hajawahi kuwaona, nyie muacheni aende ni kuzuri tu, mstake kuleta kupajuajua sana, na huenda mnaishi mwanza na hamjawahi hata kufika. ndugu ww nenda kisiwa kipo hapo mwanza karibu kabisa na mjini, naul pamoja na kiingilio haizidi hata elfu mbili maana sijui kwa sasa, fika maeneo ya tilapia hoteli
Natamani sana kufika huko saa 8 nasikia kisiwa kina sq km 2.1 hata kama hakuna wanyama bado ni utalii.
Malaika ipo Ilemela, kama km 5 hivi toka airport pinda kulia nenda na barabara ya vumbi.Ukerewe panda boti zipo maeneo ya kirumba TSH 7, hivi hadi Ukerewe mwendo wa saa 2 hivi majini. Ukifika tuwasiliane.Kisiwa cha saa 8 hakuna issue labda kama unataka kupoteza hela zako bure.....utabahatisha nyani, sungura na mbweha.
Enenda usiwe na shaka. Usisahau kurudi na sato wa kutosha......