Nitafika tu...!

Nitafika tu...!

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
24
Harakati za kutafuta maisha...!

Tutafika tu.JPG
 
we all have the same destination.......tutafika tu!
 
Huu ni upunguani maana angeweza kurudia mzigo mwingine baada ya kufikisha wa kwanza.akili ka kifungo cha shati.
 
Marufuku Marufuku kukata tamaaaa,
Marufuku Maruku kukata tamaaa,
 
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe!
 
Huu ni upunguani maana angeweza kurudia mzigo mwingine baada ya kufikisha wa kwanza.akili ka kifungo cha shati.

Anatoka mbali sana mwendo wa masaa 2 kufika sokoni, akifika atamuachia nani pale kwa wajanja na akirudia atakuja kuuza saa ngapi?
Huyu utakuta ana mke na watoto, kwa vile haki sawa kwa wote, mke wake naye angebeba vivyo hivyo kuongeza kipato cha familia!
 
sasa mbaya baada ya mahangaiko yote wanakuja wale wanaojiita wa mujini wanauchukua muzigo wote na kudai haparuhusiwi kufanya biashara
 
Kama pato litokanalo na jasho hilo linafika walau katika familia yake, heri na iwe juu yake isije kuwa mkwanja wote waishia kwa Mama Nipimie, watoto wanapiga miayo tu nyumbani.
 
Kufika ni Strategy wala sio Juhudi

Juhudi bila Maarifa ni KAZI BURE.
 
Back
Top Bottom