Nitafanyeje kuondoa timeline kwenye facebook

Raiamwematz

Senior Member
May 9, 2012
104
0
Kwenye facebook page yangu, nilihama toka classic kwenda timeline page. Sasa hii timeline mimi sijaipenda, natamani nirudi huko nyuma, je nafanyeje?? naombeni msaada hapa wataalamu.
 

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
988
0
HAIWEZEKANI!! Unachoweza tu labda nu ku-restrict watu wasione/access timeline yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom